Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

B/S
 
Shida ya Watanzania, ni kukataa ukweli, Rwanda wako vizuri sisi tuna miji michafu na trafiki wamejazana Kila Kona. Na usafi au umakini aujalishi nchi ndogo au kubwa
Ondoa hao trafiki halafu uone ajali na vifo namna vinavyoweza kuongezeka
 
Sasa unazo hizo pesa za kufanya miji yetu ifanane na rwanda au nchi za ulaya?

Pesa hyo hakuna,labda kama tutaondoa bajeti za wizara zingine ndyo tuongezee kwenye mazingira.
 
Unamaansha nchi kubwa ni mzigo mzito Africa. Bora kuwa na nchi ndogo ndogo ili ziwe safi
Simaanishi ukubwa tu,lakini angalia cost inayotumika katika kutekeleza huo mpango.shida iliyopo ni bajeti,kutunza mazingira kunahitaji pesa nyingi kuanzia kwenye plans,kuelimisha jamii na mwisho utekelezaji wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…