Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
B/S
 
Shida ya Watanzania, ni kukataa ukweli, Rwanda wako vizuri sisi tuna miji michafu na trafiki wamejazana Kila Kona. Na usafi au umakini aujalishi nchi ndogo au kubwa
Ondoa hao trafiki halafu uone ajali na vifo namna vinavyoweza kuongezeka
 
Watanzania asilimia kubwa ustaarabu kwetu ni Sifuri,,Tunakuwaga na sababu za kipuuzi hata kwenye mambo ya msingi,,ambayo kiukweli ilibidi tuchukue hatuna na kuyafanikisha Kwa ubora zaidi!! Ustaarabu haungalii ukubwa au udogo Bali ni utendaji wenye Maono,,fikra,,,na mitazamo iliyotukuka!!
Sasa unazo hizo pesa za kufanya miji yetu ifanane na rwanda au nchi za ulaya?

Pesa hyo hakuna,labda kama tutaondoa bajeti za wizara zingine ndyo tuongezee kwenye mazingira.
 
Unamaansha nchi kubwa ni mzigo mzito Africa. Bora kuwa na nchi ndogo ndogo ili ziwe safi
Simaanishi ukubwa tu,lakini angalia cost inayotumika katika kutekeleza huo mpango.shida iliyopo ni bajeti,kutunza mazingira kunahitaji pesa nyingi kuanzia kwenye plans,kuelimisha jamii na mwisho utekelezaji wenyewe
 
Back
Top Bottom