Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Bado ninaamini sababu ya Rwanda kuwa safi si Wanyarwanda tu wenyewe bali mh.Rais PAUL KAGAME na maono yake....

PK anaitawala Rwanda kijeshi.....

Hata ingekuwa hapa Tanzania tunatawaliwa hivyo na mtawala huyo akawa na maono makubwa mno basi tungekuwa na maendeleo na usafi zaidi yao......[emoji120]

PK ameikamata vyema Rwanda na ana maono makubwa...

#SiempreJMT[emoji120]
 
Kusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.

Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?

Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
 
Ila kwenye suala la askari trafiki kutapakaa hovyo barabarani, nadhani ifikie wakati serikali iwapunguzie usumbufu wamiliki wa vyombo vya moto.

Hawa watu kwa asilimia kubwa wanakaa barabarani kwa lengo moja kuu; kupokea rushwa!! Ukiwakuta na zile mashine zao, unaweza kufikiri wanafanyia kazi idara ya kukusanya ushuru na mapato ya serikali!! Kumbe ni fix za kuwapiga watu hela.

Kwa upande wangu ningetamani hawa watu wawepo maeneo machache tu ya check points, na pia kwenye vivuko vya waenda kwa miguu (Zebra)! Hawa watu wanajiona kama vile kupokea rushwa ni haki yao. Inakera sana.
 
Kusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.

Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?

Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
Rubish.
 
Hivi maccm mbona mnakimbilia Sana kwenye hii Hoja ya udogo wa Rwanda? Mbona mnakua pomoma hivyo. Nani kakuambia usafi ni udogo wa eneo? Nchi kma china unaweza ukakuta huu ushuzi wako hapa.

Swala la usafi ni mfumo tu mzuri na utamaduni watu waliojiwekea basi.
 
Kusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.

Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?

Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
Usafi ni utashi tu,zipo nchi zenye population kubwa zaidi yetu lkn zinazingatia usafi
 
Akili ndogo[emoji107][emoji107] pale unafananisha Nchi(Tz) na wilaya yake(Rw) halaf ndugu Rw ni overrated GDP per capital tu tumeipiga mbal licha ya population yetu kuwa kubwa mno vs GDP
 
"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Huyo mtangazaji kanitia aibu sana !

Kanifanya nijione mchafu sana yaani mimi na watanzania wenzangu Aiseh!

Nashauri mamlaka imzuie asirudi Bongo abaki huko huko NDIO kwao wasafi huko sisi keshasema ni wachafu!!!
 
Kusifia nchi za wengine ni uchoko kabisa.

Hivi kwa akili za kawaida unaeza fananisha population ya rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaeza fananisha kiwango cha uzalishaji taka za aina yoyote kati ya Rwanda na Tanzania?

Hivi kwa akili ya kawaida unaweza kulinganisha bajeti inayotakiwa kuweka mazingira safi kati ya Rwanda na Tanzania kwa ku–relate geographical area ya hizi nchi?

Ukipata majibh ya hayo maswali huwezi kuandika upuuzi huu.
Unamaansha nchi kubwa ni mzigo mzito Africa. Bora kuwa na nchi ndogo ndogo ili ziwe safi
 
Gentamycine.. unajina kubwa ila akili yako ni ndogo sanA.. Low IQ.. ni mtu ambae unatabia za ku attack watu/ Dola kwa hisia.. pia nilikuona una akili ndogo pale uliposoma chuo chako pendwa cha SAUT huku ukashindwa kuitambua Advanced Diploma kuwa ilikua ikitolewa hapo SAUT ( lack of Internal & External Environmental scanning) na vyuo vingine kama ilivyokua TSJ.... kuna siku ulimshambulia kiongozi mmoja kuwa hajasoma.. Jifunze elimu na maisha nje ya darasani na tafuta connection bwana mdogo...
 
"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Wanahirisha kufikiri kwanafsi kwasababu ya kujipendekeza kwa viongozi wao nakufuata mkumbo, (unyumbu) kwa kutumikia kundi fulani hatakama hilo jambo litaathiri vizazi vijavyo ama vilivyopo, (conflict of interest) .Herding behavior is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of group objectives and flattering their leaders
 
Kuna watoto wakizungu mixer na mbongo walikuja Tanzania kwa matembezi ya mwisho wa mwaka..sasa wametoka mjini posta wanarudi nyumbani wako ndani ya Gari dereva akawaambia watupe uchafu nje barabarani...Walimkata jicho kali dereva wakamwambia why wakaanza mchallenge njia nzima hadi kufika nyumbani ikawa main topic....wenzetu nchi zilizoendelea watoto wanafundishwa toka wakiwa wadogo ustaarabu na usafi ..huku jitu zima linatupa chupa ya maji barabarani halafu unategemea hata watoto wajifunze nn...
 
Huna akili, unaandikaga ushuzi tu [emoji38][emoji38][emoji38]
ANGALIZO

Ukijijua tu HUMPENDI na UNAMCHUKIA mno GENTAMYCINE na HUMKUBALI wala HUVUTIWI na MADA ( THREADS ) zake Kutwa hapa JamiiForums cha kufanya ni KUACHANA nae au MBLOKU ( IGNORE ) na endelea KUWASOMA MEMBERS wako ambao UNAWAPENDA, UNAWAKUBALI na unawaona ni BORA KWAKO na uniachie / uwaache wale MEMBERS Wanaonielewa waendelee KUHABARIKA, KUELIMIKA na KUBURUDIKA nami hapa JamiiForums.

Kitendo cha Kujijua huwa HUNIPENDI, HUNIKUBALI na HUVUTIWI na UWASILISHAJI Wangu hapa JamiiForums halafu bado tena UNAWASHWAWASHWA nami kama MBWA JIKE anayetaka KUPANDWA kunaonyesha kuwa UNANIKUBALI ( UNANIPENDA ) hadi KUMOYO na huku KUNICHUKIA Kwako ni KUZUGA tu.

Na bahati nzuri au mbaya nikianzisha MADA ( THREAD ) hapa huwa SIMUITI au SIMLAZIMISHI Mru Kusoma hivyo sitaki SHOBO za ki MAGOMENI MAPIPA KWA MACHENI.

Nimemaliza.
 
Back
Top Bottom