Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Tiba ya asili ya TB ni ipi? Tiba ya asili ya gonorrhea ni ipi? Tiba ya sili ya ukimwi ni ipi? Tiba ya asili ya mafua ni ipi? Tiba ya asili ya presha ni ipi? Tiba ya asili ya kisukari ni ipi?.nikimaanisha tumeonekana tukidharau na kubeza hata tiba zetu za asili na kusubiri tiba ya mzungu,tukiamini ndio tiba sahihi.
Epuka misongamano jikinge na korona kwa kunawa Mara kwa Mara kwa sabuni na majitiririka,cha zaidi tufate maelekezo ya wataalam😠😠😠Hapo vip!!
Kupitia janga hili la Corona na harakati na kutafuta tiba au kinga dhidi ya janga hili,muafrika ameonekana kanakwamba mtoto mdogo anayesubiri maamuzi na kauli na pia na solution ya janga hili kutoka kwa mzazi..nikimaanisha tumeonekana tukidharau na kubeza hata tiba zetu za asili na kusubiri tiba ya mzungu,tukiamini ndio tiba sahihi.
Hili linadhihirika hata kwenye nchi yetu,baada ya rais kutoa tiba mbadala ya kujivukiza kama ni sehemu ya kukabilina na janga hili la corona,basi watu wengi wameonekana kumbenza na kudharau mawazo yake..lakini naamini ingekuwa mzungu kasema hivyo ,hii ngozi nyeusi ingekuwa wa kwanza kutekeleza...ni aibu kubwa sana,na ndio maana tunadharaulika kila kona ya dunia kwasababu kwanza hatuzihamini mawazo na akili zetu..
Leo Afrika tungekuwa na technologia yetu na tiba zetu,nina imani tusingedharaulika na wenzetu,leo muafrika china anaonekana kama sio mtu,then huyu huyu muafrika anasubiri tiba kutoka china au ulaya kwasababu anaamini wao ndio wanauwezo wa kupata tiba sahihi,huku akibeza na kudharau tiba zake,sasa kama wewe mwenyewe unajidharau kwani unalalamika mtu mwingine akikudharau?
Binafsi mimi sio CCM na sina chama,lakini tuache kumbeze president Magufuli,na kama unamkosoa kwa mawazo yake basi tupe mbadala ya tiba unaona wewe ni bora kuliko hiyo aliyopendekeza.
Ya mafua ipo mkuuTiba ya asili ya TB ni ipi? Tiba ya asili ya gonorrhea ni ipi? Tiba ya sili ya ukimwi ni ipi? Tiba ya asili ya mafua ni ipi? Tiba ya asili ya presha ni ipi? Tiba ya asili ya kisukari ni ipi?
Tuje za kizungu: Je magonjwa hayo yote yana tiba?
ipi tunufaike. Usileta za kutuliza, kuzibua pua zilizoziba! Wahaya wana kitu kinaitwa "KANYAMWESA", (Tibaijuka alitaja jana) ukinusa kwenye pua unapiga chafya makamasi yanatoka kibao! Lakini mafua yako pale pale!Ya mafua ipo mkuu
tiba za kizungu TB inatibika mkuuTiba ya asili ya TB ni ipi? Tiba ya asili ya gonorrhea ni ipi? Tiba ya sili ya ukimwi ni ipi? Tiba ya asili ya mafua ni ipi? Tiba ya asili ya presha ni ipi? Tiba ya asili ya kisukari ni ipi?
Tuje za kizungu: Je magonjwa hayo yote yana tiba?
Jina ni tabu kwa mda huu kulipataipi tunufaike. Usileta za kutuliza, kuzibua pua zilizoziba! Wahaya wana kitu kinaitwa "KANYAMWESA", (Tibaijuka alitaja jana) ukinusa kwenye pua unapiga chafya makamasi yanatoka kibao! Lakini mafua yako pale pale!
Tupeane elimu. Ipeleke NIMR waitafiti, then unachukua hati miliki.Jina ni tabu kwa mda huu kulipata
Ila kuna jamaa analetaga apa nyumbani
Unaichemsha alaf unanusa puani inapita unaisikia alaf na kwenye koo ukipoapoa unainywa
Siku mbili tu mafua unayasahau
Jioni nitaleta maelezo yaketupeane elimu. Ipeleke NIMR waitafiti, then unachukua hati miliki.