Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Hamjambo!
1. Kuna tabia ambazo Watanzania wengi wanazo ambazo zinazalisha upatikanaji wa viongozi wa ajabuajabu.
2. Nitakupa mfano WA baadhi ya tabia na fikra hizo;
a) Watazania wengi hawaupendi Ukweli.
Watanzania wengi hawaupendi Ukweli. Ukiwaambia Ukweli watakuchukia Sana.
Msingi mkuu wa utamaduni wa jamii za kiafrika sio Ukweli. Ni ulaghai na uongo.
Watanzania ni rahisi kupinga mambo yaliyochunguzwa kitaalamu na kuyakubali mambo ya uongo ya kuzushwa. Wanapenda uzushi kuliko ukweli.
Ndio maana ni rahisi kumzushia mtu tuhuma hapa nchini ikashika hata kama ni uongo watu wakaiamini.
b) Watanzania wengi wanaroho mbaya ya wivu kwa waliofanikiwa
Hoja hii ya pili inabebwa na hoja ya Kwanza hapo juu ya kutokupenda Ukweli.
Mtanzania ukimzidi Jambo hakubali umemzidi anaona kama aidha umependelewa, umeiba, au mshirikina, au umerithi. Hawaamini kwamba umeshinda kwa uwezo wako.
Waliofanikiwa nao hawataki kuona waliochini Yao wakipanda wakiwa kama wao.
c) Watanzania wengi Wanapenda Dezo, Wavivu. Wanapenda kufanyiwa mambo
Wanataka kufanyiwa hawapendi kufanya wenyewe.
Wanapenda kusemewa hawapendi kusema wenyewe.
Wanapenda Dezo
Utasikia Lisu tusemee.
Polepole Tusemee
Sijui Nani tusemee. Dezo tuu. Uvivu tuu.
Sifa kuu ya watu wavivu ni kushindwa kujitetea na kutetea haki zao. Mtu yeyote asiyeweza kutetea haki zake na jamii yake ni Mvivu.
Na watu wavivu huzaa tabia ya Wizi, kupenda pesa za haraka, ufisasi tena wanawaibia watu wao wenyewe.
d) Watanzania wengi ni Walalamishi.
Ni kwa sababu ya uvivu. Ukishakuwa mvivu lazima uwe mlalamishi
Watu wasioweza kuchukua hatua.
Wanalalamikia wengine.
Oooh! Pale kiwandani tunalipwa pesa ndogo, sijui hatujalipwa miezi mitatu. Unamuambia andamana, hataki. Anakuletea malalamiko utafikiri wewe ndiye mhanga.
e) Watanzania wengi ni Wanafiki.
Inalingana na sifa ya Kwanza kule juu. Kutopenda ukweli.
Watu wasiopenda Ukweli sio wakuamini hata kidogo.
Leo wanasema hivi kumbe wanamaanisha hivi.
Wanang'ata na kupuliza.
Hawawezi kumchana mtu makavu uso kwa macho. Ndio maana hata Mwaka Jana mkutano wa CCM Wakumteua mgombea wa Urais, Samia Suluhu kwa kujua tabia ya unafiki wa Watanzania, akasema yeye hatoki ukumbini kama wajumbe hawamtaki Waseem akiwepo. Wakashindwa kumkataa hata mmoja. Ndio unafiki wenyewe huo. Alafu kwa unafiki wap wanakuja kulalamika chini kwa chini hawamtaki. Hamumtaki vipi. Unafiki mtupu.
Mtu kama humtaki sema simtaki. Simple.
Kwa Tanzania mtu ambaye anakuchana makavu huyo muamini. Na Rafiki ambaye haogopi kukuchana makavu huyo ndiye Rafiki. Watu wanafiki ni ngumu Sana kukuchana makavu.
f) Watanzania wengi hawaipendi na hawaijui Haki.
Huona Jambo Fulani ni haki pale linapowanufaisha hata kama linakandamiza wengine.
Ndio yaleyale ya kina Polepole. Wakionewa wengine. Kimya. Ikifika zamu yake ndio anaona ni uonevu. Unapiga kelele nini. Ukiamua kukausha Kausha. Ukiamua kusema ukweli sema ukweli.
g) Watanzania wengi hawana upendo wa kweli wa Kitaifa. Yaani sio Wazalendo.
Mfano, Mimi nikiwa Mtawala ninauwezo wa kuja nyumbani kwako nikamchukua Mtoto wako nakutokomea naye. Na jamii yote ikakaa kimya ukabaki unapiga kelele wewee tuu. Ni kwa sababu nchi haina upendo wa kweli. Hakuna uzalendo au kiwango cha uzalendo kipo chini Sana. Sana.
Uzalendo ni Ile hali ya kumpenda Mwananchi na raia mwenzako kama nafsi yako kisha kuipenda nchi yako. Kwani huwezi ipenda nchi kama humpendi mwananchi mwenzako.
Unatekwa, wananchi wenzako wanaendelea na mambo Yao kanakwamba hakuna kilichotokea. Jeshi la wananchi, Polisi, usalama, na idara zote zipo na wote hakuna anayejali. Hao wote ni Watanzania. Hawana Upendo.
Na ukiwa huna upendo huwezi kupenda Haki, huwezi kupenda ukweli.
Siku likitokea upande wako unajikuta unapiga kelele wewe mwenyewe. Hakuna msaada.
h) Watanzania hawana uchungu wa kuzaa.
Sijajua inasababishwa na nini. Kama wanawake wa kiafrika, na nchi yetu Tanzania wangekuwa ma uchungu wakati wanazaa kuna mambo yangekuwa nadra Sana kutokea hapa Tanzania.
Unaponyamaza wakati mtoto WA mwenzako anaonewa kwa kiwango cha juu. Kisa sio mtoto wako ni kiashiria huujui uchungu wa kuzaa.
Sio lazima mpigane na Watekaji au wasiojulikana
Kama wanawake wakiamia kuwatia vikwazo wanaume kuna mambo kutokea ingekuwa kipengele.
Wanawake wote wanasusa kwa muda usiojulikana kuwahudumia waume zao kama kuwapa unyumba, kutowapikia, n.k. Wababa hawana ujanja kwa Wanawake wenye kujua power ya uanamke.
Wanawake wakishakuwa mashujaa na wakijua kwa nini wanazaa, na uchungu wakuzaa maendeleo ndani ya jamii husika lazima yaonekane.
Wanaume power yetu ipo tukiwa na miaka 20-45. Baada ya hapo wanawake ndio huwa na Power na ndio wanaamua hatma ya hiyo familia.
Nimemaliza.
TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam