Kwa Tabia na akili za Watanzania wengi. Hata CCM ikitoka bado chama kitakachotawala kitakuwa CCM B

Kweli
 
Wewe ni Msomali mkuu?
 
Umesema kweli lakini ajabu utapingwa kwa sababu ile ile ya Mtanzania kutokupenda ukweli.
 
Kama ulikubali kuwa Duara na Mraba vyote vina jumla ya 360° huna tofauti na sisi kina kaundime.
 
Mbegu ya mageuzi na haki ya Tanganyika ndiyo inaendelea kumea kwenye ardhi ya Tanganyika.
 

Attachments

  • VID-20260428-WA0003.mp4
    924.9 KB
Nyerere, ndiye chanzo cha haya yote uliyoyaandika.

Nasanzuka !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…