Kwa Tabia za Sheikh Alhad Mussa Dua zake huwa ni kinyume. Msimsikilize

Gobole Lenye Risasi

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,519
Reaction score
23,693
Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena....

Akaja akamwombea Dua mbaya Afande Sele. Mpaka leo yupo tu anadunda bila noma yoyote. Nikagundua huyu Sheikh Ubwabwa ukitaka kufanikiwa mwambie akuombee mabaya ndo unafanikiwa.

Kwa aliloomba leo basi itakuwa kinyume chake. Huyu Sheikh na Nabii Tito ni dugu moja kabisa. Sema Tito waliamua watu kumpuuza amejiishia kwa kupuuzwa.
 
Ni wajinga pekee ambao wanaweza kuogopa mikwala ya hawa masheikh ubwabwa
 
Hvi ni huyu ni sheikh wa mkoa au wilaya?
 
Nakumbuka Mange aliwahi kumtuhumu kwamba huyu sheikh ni mlaji mzuri sana wa "donati"...
 
Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena....

Akaja akamwombea Dua mbaya Afande Sele. Mpaka leo yupo tu anadunda bila noma yoyote. Nikagundua huyu Sheikh Ubwabwa ukitaka kufanikiwa mwambie akuombee mabaya ndo unafanikiwa.

Kwa aliloomba leo basi itakuwa kinyume chake. Huyu Sheikh na Nabii Tito ni dugu moja kabisa. Sema Tito waliamua watu kumpuuza amejiishia kwa kupuuzwa.
Aliyemuombea dua mbaya king Sele ni Sheikh Nurdin Kishiky
 
Back
Top Bottom