Aliwahi mwombea Mangi Kimangi kuwa atakufa. Yule dada mpaka leo anadunda tu na anatengeneza pesa. Yaani badala ya kumlaani ndo akambariki. Huyu Sheikh ubwabwa inasemekana ndo basi tena....
Akaja akamwombea Dua mbaya Afande Sele. Mpaka leo yupo tu anadunda bila noma yoyote. Nikagundua huyu Sheikh Ubwabwa ukitaka kufanikiwa mwambie akuombee mabaya ndo unafanikiwa.
Kwa aliloomba leo basi itakuwa kinyume chake. Huyu Sheikh na Nabii Tito ni dugu moja kabisa. Sema Tito waliamua watu kumpuuza amejiishia kwa kupuuzwa.