Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Semaji la Simba limeongea sana, semaji hili la kimakonde linaongea kwa vituo sana, linajua kuongea, linajua kujenga hoja, linajua kukera.Kiukweli hatujutii bwana yule kuondoka, akwende zake kabisa kabisa.
Semaji hili la sasa halitukani mashabiki wake, semaji hili la sasa lina upendo na mashabiki, haligombani na waandishi wala kuongea lugha za matusi, ila semaji hili la Simba linakera sanaaaaa.
Kutokana na ukeraji huo nna hofu hawa jamaa zetu wanaweza kwenda msituni kuharibu shughuli, mi nawajua hawa, wanataka kufanya kama yale ya Raja Casablanca au aliyofanyiwa Yanga na USM Algeria hapa Taifa.
Simba ikimfunga mwarabu mbele ya Infantino itakuwa imejenga heshima kubwa duniani na inaweza kupata mialiko ya mechi za kirafiki za kimataifa na AC Milan, Man utd, Man City, Liverpool nk.
Siku hiyo tumalize silaha zetu zote za porini, atakayethubutu kuiroga Simba asije kumlaumu mtu.