Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

Kwa takwimu hizi Harmonize unapotea

Hakuna ukweli dogo anawaumiza sana ndo maana mwarabu koko aliuputa mkono wake msibani
sie tunaumia na kushuka kwake ndo maana tunamshauri bt nyie shabiki mandaz mnasifia tu bila kujali uhalisia wa mambo
 
Utakufa masikini ukimsubiria kijana wa watu anayetafuta pesa ashuke kimaisha na kimuziki..mana kwa chuki mnayompa ndio mana mna hofu kubwa naye hata mkono msibani hamumpi.

Sent using Jamii Forums mobile app
tuliza boli mkuu, mwenye chuki ni yule anaesifia tu bila kukueleza ukweli ambao utakusaidia ujipange.
 
Kila mtu mnamshaur nyie bwanaaa mshaurini jamaa yenu mnaesema kaiteka Africa afu tuzo wanachukua akina BURNA mbna mwanzo alikuwa anapata tuzo nyingi sa hivi hamna kamshaurini sasa achaneni na MMAKONDE.
hatua alopiga mondi si yakulilia tuzo tena, concert zote kubwa yeye ndo parfomer, billboard wanamtolea mfano kwani hawawaoni kina burna? nimeamini akili za kimaskini hua hazioni mbele.
 
Sallam SK maliza kwanza msiba wa ndugu yako
 
Mzee umeandika utopolo monde boy huwezo mdogo na zuchu anaimba taarabu. Sasa in as hind an is name mavi na mavi

Alikiba ndo kila kitu hata Robidinyo. Analijuwa hilo swala
 
kwakwel sijui ugeni yaan ata wimbo mmoja wa zuchu uwaga siujui. kumbe ananyimbo nyingi ivyo.
 
Harmonize kwa sasa anatafuta funs base yake, kwa hilo siwezi shangaa ila zuchu anatumia funs wa WCB na wala sio shabiki zake..unatakiwa ufahamu hilo mkuu..
Halafu sijui huwa wanajitoa akili ""!!!
 
Katika Maisha Kitu "Uthubutu " Ni Muhimu Xanaa Katika Kupiga Hatua , Kwa Sisi Wajasiriamali Tunasema Konde Boy Ni Mwanaumee Maana Amethubutu Na Amefanikiwa ., The Main Target Ni Hela Kwa Wanadamu Na Hilo Toka Ametoka Wcb Jamaa Milango Ya Ridhiki Inafunguka ....
Think Ur Self Unahingiza How Much Per Day ....? Ukichajua Utakuwa Mpenz Wa Muziki Mzur
 
Washamba wengi mmekariri you tube.

Hao wasanii uliowataja hapo wote wana platforms zaid ya 12 tofauti na you tube watu wanastream online.

Rudi kafanye research upya kwenye all more than 12 platform ulete tena mrejesho hapa.
Honestly naona unamuonea bure muanzisha topic. Wewe mwenye vyanzo vingine vya takwimu ndio ungevileta hapa jukwaani ili kuonesha kuwa muanzisha topic hayuko sahihi. Yeye kagusia YouTube, wewe lete hivyo vingine unavyovijua.
 
Mimi sikupi samaki, nakufundisha namna ya kuvua samaki akili yako inatakiwa ichangamke.
Hutaki kwenda kuvua mwenyewe baki hapo andelea kujifungia kwenye box.
 
Mimi sikupi samaki, nakufundisha namna ya kuvua samaki akili yako inatakiwa ichangamke.
Hutaki kwenda kuvua mwenyewe baki hapo andelea kujifungia kwenye box.
Sasa unakosoa kwa kumpa kazi aliyeleta takwimu za YouTube akatafute vyanzo vingine, wewe unajuaje kuwa hivyo vyanzo vingine anavifahamu!? Mleta mada kazungumzia YouTube hutaki weka takwimu za hizo platforms zako. Akili yako ikichangamka inatosha mdau.
 
Dogo nimempa assignment akafanye research upya na ameenda,
wewe kaa kwa kutulia usijipe kazi ya kuwa msemaji wake wakati yeye mwenyewe amenielewa.
 
Back
Top Bottom