Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kimsingi hatuna Jeshi la zimamoto na uokoaji, Report ya CAG inaeleza.
1. Upungufu wa vituo 283,370 vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto sawa na 99.4%.
2. Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na asilimia 91%.
3. Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa moto na uokoaji kwa njia ya kizamani na kusababisha takwimu zisizo sahihi kwa kufanya maamuzi.
4. Jumla ya milipuko 1,718 ya moto iliyotokea katika mikoa 28 ya zimamoto katika kipindi cha mwaka mmoja haikuchunguzwa.
My take.
Hii ni hatari sana, siku moto ukitokea bungeni, au hata ikulu ni dhahiri kwamba kila kitu kitateketea.