Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Mtihani sana yani[emoji1787][emoji1787]Sasa ndo itokee moto pale Tandare, Magomeni, Kimara hizo fire zitafikaje?
Aise[emoji1787],wapi hiyo mkuuOfisi zao nimeona wamejemga frem za kupangisha saloon na huduma nynginezo
My take.Kimsingi hatuna jeshi la zimamoto na uokoaji,Report ya CAG inaeleza.
1.Upungufu wa vituo 283,370
vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto kwa asilimia 99.4%
2.Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na
asilimia 91%
3.Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa
moto na uokoaji kwa njia ya kizamani na kusababisha takwimu zisizo sahihi
kwa kufanya maamuzi.
4.Jumla ya milipuko 1,718 ya moto iliyotokea katika mikoa 28 ya zimamoto
katika kipindi cha mwaka mmoja haikuchunguzwa.
My take.
Hii ni hatari sana,siku moto ukitokea bungeni,au hata ikulu ni dhahiri kwamba kila kitu kitateketea
Punguza hasira kiongoziMy take.
Hii ni hatari sana,siku moto ukitokea bungeni au hata ikulu ni dhahiri kwamba kila kitu kitateketea
Hapo naomba moto utokee hata leo tena muda huu...TAKATAKA tupu kazi kulinda lichama tu.
Kama Mmoja wa Wakuu wao ni Mwanamke asiye na Historia ya Management and Administration kokote pale ila kapandishwa tu Cheo na kawekwawekwa Kunakoshangaza aitwae Puyo Nzalayimisi unategemea jipya kutoka katika hilo Jeshi?Kimsingi hatuna jeshi la zimamoto na uokoaji,Report ya CAG inaeleza.
1.Upungufu wa vituo 283,370
vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto kwa asilimia 99.4%
2.Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na
asilimia 91%
3.Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa
moto na uokoaji kwa njia ya kizamani na kusababisha takwimu zisizo sahihi
kwa kufanya maamuzi.
4.Jumla ya milipuko 1,718 ya moto iliyotokea katika mikoa 28 ya zimamoto
katika kipindi cha mwaka mmoja haikuchunguzwa.
My take.
Hii ni hatari sana,siku moto ukitokea bungeni,au hata ikulu ni dhahiri kwamba kila kitu kitateketea
yaani hata mimi nimeduwaa lakini kwa tz ni sawa tu maana hata Lugalo -JWTZ kuna fremuOfisi zao nimeona wamejemga frem za kupangisha saloon na huduma nynginezo
Hawa jamaa ni wahuni, walikwenda kumtafuta mtoto aliyezama kwenye dimbwi kwa kutumia gongo la kutembelea mlemavu pale Mlimani City, wakakoroga maji wakashindwa, mwananchi mmoja (kwa leo angeitwa Majaliwa One) akajitosa akazama kwa dakika kadhaa akaibuka na mtoto2.Upungufu wa vifaa vya zimamoto na uokoaji 6,352 sawa na
asilimia 91%
3.Jeshi hilo linarekodi matukio ya mlipuko wa
moto na uokoaji kwa njia ya kizamani na kusababisha takwimu zisizo sahihi
kwa kufanya maamuzi.
Basi ndio maana hakuna cha maana wanachokifanyaKama Mmoja wa Wakuu wao ni Mwanamke asiye na Historia ya Management and Administration kokote pale ila kapandishwa tu Cheo na kawekwawekwa Kunakoshangaza aitwae Puyo Nzalayimisi unategemea jipya kutoka katika hilo Jeshi?
Mkuu ni wapi huko wamejenga fremu wanapangishayaani hata mimi nimeduwaa lakini kwa tz ni sawa tu maana hata Lugalo -JWTZ kuna fremu
Hao ilibidi hapo hapo wachezee kchapo kikaliHawa jamaa ni wahuni, walikwenda kumtafuta mtoto aliyezama kwenye dimbwi kwa kutumia gongo la kutembelea mlemavu pale Mlimani City, wakakoroga maji wakashindwa, mwananchi mmoja (kwa leo angeitwa Majaliwa One) akajitosa akazama kwa dakika kadhaa akaibuka na mtoto
Suala la UOKOAJI halipo na wala hatuliwezi. Kitu ambacho kipo miaka yote ni UOPOAJI.Kimsingi hatuna jeshi la zimamoto na uokoaji,Report ya CAG inaeleza.
1.Upungufu wa vituo 283,370
vya vya kuchukulia maji ya kuzima moto sawa na 99.4%