Kwa takwimu hizi ni kwamba hatuna Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

JW wanafanya kazi nzuri kuliko hao wa moto
 
Waliomba bajeti ya kuagiza vifaa vya kisasa vya uokoaji wa uzimaji moto, lakini mwendazake anawageuzia kibao na akawa anamshangiliwa kwamba eti kaibua ufisadi, wameamua kutulia sasa.

Kwa kuwa wanaona wakinunua yale maroli ya kuzimia moto ndiyo wamefufua Zimamoto, basi wanunue tu na wao watayapokea na hawaombi vifaa vya kisasa tena ili wasiitwe mafisadi.

Ova
 
Bajeti ya jeshi la zimamoto na uokoaji bado ni ndogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…