Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Haya takwimu hizo hapo, nani ni bora zaidi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alidhrumiwa Ballon d'or 2003 na tuzo akapewa Pavel Nedved ambae namba zake ni vituko mbele ya Henry.Henry aliingia 3 Bora Tuzo za Balloon,katikati ya watu heavyweight...Salah kwa Henry ni kumuonea tu.
Umeimaliza kesi vizuri mnoooo. Wanajisahaulisha au hawajui kuwa Henry ameubonda mwingi enzi za ubora wa Gaucho, Zizou, Beckham, Nedved, Ronaldo, Rivaldo, Del Pierro, n.k. Enzi za soka haswaaa....sio saiv takwimu zinafunika brilliance.Tierry Henry fundi
Ana nguvu, skills, akili n. K
Amecheza kipindi mpira ukiwa na watu
Sio Salah anacheza kipindi hiki star ni Rodri, vini, haland, Rashford