Kwa takwimu hizi; Salah Vs Thierry Henry unamchagua yupi?

Ngumu kumeza aisee!!!!

Wengi watampa Henry kwa Leadership Influence nk.
 
Nadhani tunashindanisha vizazi hapa...hawa wa Salah, unawezekana hawajawahi kumuona TH14...

Haswa ukiwa upande wa pili..anapoanza kuingia kiupande upande, aki drible, unajua kabisa saa yoyote anapiga, kama masihara, unaumia moyo!

Na zaidi, TH14 amecheza na watu bora kabisa kwenye timu, sio kuwa yeye ndo alikuwa muhimu pekee kwenye timu.

Salah, ashindanishwe na akina Sadio.
 
Tierry Henry fundi
Ana nguvu, skills, akili n. K
Amecheza kipindi mpira ukiwa na watu
Sio Salah anacheza kipindi hiki star ni Rodri, vini, haland, Rashford
 
Tierry Henry fundi
Ana nguvu, skills, akili n. K
Amecheza kipindi mpira ukiwa na watu
Sio Salah anacheza kipindi hiki star ni Rodri, vini, haland, Rashford
Umeimaliza kesi vizuri mnoooo. Wanajisahaulisha au hawajui kuwa Henry ameubonda mwingi enzi za ubora wa Gaucho, Zizou, Beckham, Nedved, Ronaldo, Rivaldo, Del Pierro, n.k. Enzi za soka haswaaa....sio saiv takwimu zinafunika brilliance.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…