Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Hata sina haja ya kujieleza, Dr Nchimbi ametufumbua macho kwamba Intelijensia ya Chama chake ndiyo iliyoelekeza kwamba Mbeya hapakaliki na kusababisha kukamatwa viongozi wa CHADEMA kinyume cha sheria.
Mfano mzuri nini kilichosababisha Mbowe akamatwe uwanja wa Ndege kama watangulizi wake waliakamatwa Kwa mkusanyiko haramu?
Pia soma:Kuelekea 2025 - Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi aiagiza Serikali kuwaachia Viongozi wa CHADEMA