Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 766
- 1,884
Yule Mchungaji Dr. Malisa waliyemtoa uanachama CCM alilisema hili kitambo, na juzi juzi hapa wakati Polepole anasema alirudia.Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Uteuzi unaozungumziwa hapo ni ule unaofanywa na Tume ya Uchaguzi, sio ile michakato ya awali inayofanywa na vyama vya siasa!Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Watanzania tunahitaji sana elimu ya uraia kuhusu uchaguzi!.Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Kwamba vyama havifuati katiba ya nchi?Watanzania tunahitaji sana elimu ya uraia kuhusu uchaguzi!.
Anayefanya uteuzi wa wagombea ni INEC pekee, vyama vinafanya uteuzi wa mapendekezo tuu!.
Uteuzi bado!
P
Wekeni vifungu gani mnarejea tuhakiki msemayo.Watanzania tunahitaji sana elimu ya uraia kuhusu uchaguzi!.
Anayefanya uteuzi wa wagombea ni INEC pekee, vyama vinafanya uteuzi wa mapendekezo tuu!.
Uteuzi bado!
P
hawakuvunja katiba ya nchi ,kwa sababu hakuteuliwa na INEC Bali chama chake.labda tuangalie katiba ya CCM inasemajeNimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
InEC maamuzi yake lazima yafuate katiba na sheria, sio tu sheria zaoWatanzania tunahitaji sana elimu ya uraia kuhusu uchaguzi!.
Anayefanya uteuzi wa wagombea ni INEC pekee, vyama vinafanya uteuzi wa mapendekezo tuu!.
Uteuzi bado!
P
Michakato ya ndani ya vyama ni internal affairs!. Uchaguzi ni INEC pekee!.Kwamba vyama havifuati katiba ya nchi?
Siyo kweli, kwanini msajili wa CCM aliingilia uchaguzi wa CHADEMA? baada ya yule tapeli wa CHAUMA kuandika barua fake? vyama vipo kikatiba na sheria za nchi, nashangaa wewe ni mwanasheria na hujui taratibu za nchi, hata ndoa ni internal affairs lakini inasimamiwa na sheria, huyu mama alishasema katiba ni kajitabu tu hakana lolote na kweli amezoea kuvuja katiba kateua Naibu Waziri Mkuu hayupo kikatiba wala kisheria + Jaji Juma kukaa madarakani kinyume na katiba ndiyo maana mahakama haiheshimiki ni kama tawi la CCM.Michakato ya ndani ya vyama ni internal affairs!. Uchaguzi ni INEC pekee!.
P
Mchakato wa ndani wa CCM unasemaje ?Michakato ya ndani ya vyama ni internal affairs!. Uchaguzi ni INEC pekee!.
P
Acheni kufanya ubishi wa Kiha hapa. Someni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya 2024.Wekeni vifungu gani mnarejea tuhakiki msemayo.
Yes ndo inaenda kua ivyoYule Mchungaji Dr. Malsa waliyemtoa uanachama CCM alilisema hiki kitambo, na juzi juzi hapa wakati Polep9le anasema alirudia.
CCM kwa kweli inatakiwa kurudia mchakato wa kumpata mgombea, ama sivyo mgonbea wa sasa hata akipata urais, urais wake utakosa uhalali wa kikatiba.
Kuomba vifungu ndiyo ubishi?Acheni kufanya ubishi wa Kiha hapa. Someni Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani ya 2024.
Mfano:
Uteuzi wa wagombea ubunge
50(6) Msimamizi wa uchaguzi atatoa fomu za
uteuzi kwa mgombea aliyependekezwa na chama cha siasa au mpiga kura aliyeidhinishwa na chama cha siasa kwa maandishi na atampa idadi ya fomu za uteuzi kama itakavyoelekezwa na Tume.
Jibu langu kwako lilikuwa limewalenga watu wengine pia. Ndiyo maana nilianza na neno “Acheni”.K
Kuomba vifungu ndiyo ubishi?
Hilo Jambo la kisheria, umeweka vifungu umeondoa mashaka au wasiwasi wa kuwapo uvunjifu wa sheria wowote uliojitokeza.
Afadhali ya Samia.ulikuwa chadema ukakimbilia ccm ya Magufuli ukakosa uteuzi.Magufuli hayupo huna network unayumba kama dish wakati wa mvua.Pole Pole amekuchanganya huna pa kusimamia.Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
View attachment 3424683
Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
Napenda tu kuuliza saini yake hapo ipo wapi ?Nimeona Tangazo la kuvunjwa kwa Bunge la tarehe 20 July 2025. Mh Rais Samia anakiri mwenyewe kwamba haiwezekani kuteua Wagombea kabla ya Bunge kuvunjwa.
Je Jan 2025 CCM walivunja katiba ya nchi? Na je Mgombea Urais wanaye tayari au lah!? Kutakuwa na uteuzi mwingine mbeleni?
View attachment 3424683