Kwa Tanzania hii, unaweza ukawa mchezaji wa dunia, TFF wakasema huna kiwango

Kwa Tanzania hii, unaweza ukawa mchezaji wa dunia, TFF wakasema huna kiwango

ukimbile

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2015
Posts
212
Reaction score
55
nipo hapa Marekani kwa takribani 5years.nafuatilia muziki wa bongo na nnauelewa.ninachoshangazwa watz hatupendi mtu kufanikiwa.kinachoendelea hapo bongo ni chuki za fulani anaendelea.nina rafiki zangu wa kenya wanamuelewa sana diamond na level ya muziki wake .ally kiba yupo poa pia na salute kwake.kinachonishangaza zaidi kwa nn watu wakoleze bifu badala ya kuwafanya wasanii waungane wafanye yao ya ukweli.uwezo wa diamond ni tofauti na uwezo wa kiba.wote wazuri na muziki waoni mzuri kwa tofauti zao.wabongo tuwakubali wa kwetu tusiwadis vijana wetu.kama mademu aliowapiga diamond wasihusishwe na muziki wake
 
  • Thanks
Reactions: snn
Back
Top Bottom