MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DuhHuyo mpuuzi mnapanga nae deal ukiwa km mnunuzi,mnaseal kila kitu kabla hujampa mpunga.
Bang mnakamata safirisha mpaka kwao alikozaliwa kabisa.
Mnamkabodhi kwa m,kiti wa kijiji awe anatia sign kila asubuhi km yupo.
Mjini kokote anapigwa blacklist asikanyage.
Nyumba hiyo hiyo Kuna dalali mwingine anaiuza bil 1.2Angalia dalali wa juu ilikuwa mwaka 2020.ila wa chini mi 2022 .imepita takriban miaka miwili nyumba haijapata mtu ndio maana kaamua kushusha bei.
Madalali wa siku hizi na wao wana dawa za mvuto tajir ukinichanganya kuongea nao bei lazima ununue.hii siri nimepewa na dogo ambae anawatengenezea hizi dawa za kupata wateja katika udalali wao kwa makubaliano ya asilimia kadhaaa.
Kuna tatizo? Au Ni nyumba yako?Nyumba hiyo hiyo Kuna dalali mwingine anaiuza bil 1.2
Ukiachana na jinsi Magufuri alivyoliendesha hili taifa kitu kingine ninachokichukia ni udalali.
Dawa ganiAngalia dalali wa juu ilikuwa mwaka 2020.ila wa chini mi 2022 .imepita takriban miaka miwili nyumba haijapata mtu ndio maana kaamua kushusha bei.
Madalali wa siku hizi na wao wana dawa za mvuto tajir ukinichanganya kuongea nao bei lazima ununue.hii siri nimepewa na dogo ambae anawatengenezea hizi dawa za kupata wateja katika udalali wao kwa makubaliano ya asilimia kadhaaa.
Mlaumu Baba yako. Wenzie enzi hizo wanasaka viwanja yeye anakimbizana na Malayahii jengo liko karibu na IPTL napitaga hapa naliona tu kumbe liko sokon ngoja na mie niingilie dili hili
😂😂😂anhMlaumu Baba yako. Wenzie enzi hizo wanasaka viwanja yeye anakimbizana na Malaya