Kwa Tanzania ni kampuni gani wanaunda seat za magari?

Mtu Poa 2013

Senior Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
105
Reaction score
65
Habari zenu. Kama ambavyo nimeandika hapo juu naulizia nani anafahamu kampuni wanaotengeneza seat za magari, sio seat covers, ni seat zenyewe.
 
Yaani na godoro? Frame ya chuma Ile?
 
Kuongeza seat kwenye gari mfano toyota liteace van ukiongea seat zikawa 7 jumla na kadi ya gari inaonesha seat 5 hapo hapata leta shida kwa ma trafic msaada.
 
Mabadiliko unayofanya kwenye chombo lazima yaonekane kwenye kadi
 
Back
Top Bottom