Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 6,007
- 15,216
Ukweli ni mtupu tuna wapotezea mda watoto wetu kwenye hii nchi isiyotaka waelewa na wenye kuona mbali.
Angalia tu kuanzia serikali ya ccm,wajinga wanapewa nafasi kubwa kuliko welevu.
Japo elimu tunayo ila Ijawahi kusaidia taifa hata kubuni njiti ya kiberiti.
Tunawo wataalamu wakila nyanja ila sijaona hata siku Moja faida zao za hapa nchini.
Elimu ya Tanzania bado ya kumkandamiza mwananchi, ukiangalia watawala hawezi kumsomesha mtoto wao hapa Tanzania.
Mfano shule ya msingi miaka 7. Alafu anasoma nzi ana miguu mingapi!
Secondary miaka 4,
Ambavyo angesomea shule ya msingi anakuta secondary.
Advance miaka 2
Yani hapa hakuna tofauti na chuo tu .
Chuo kikuu miaka 3
Masomo ya advance ndio yapo chuo yakizidi sana skills ndio anakutana nazo.
7+4+2+3=16 year
Alafu ajira hakuna Wala ujuzi wa kujiajiri kazi za mikono hawezi.
Kilicho nifanya kufiria Ili. Wenzetu wajapani elimu inayofatiliwa kubwa kuliko zote ni shule ya msingi na ndio msingi unapoanzia wa maisha ya mtoto.