Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,503
- 15,858
Hawa ndio wanahujumu maendeleo, wengi wao ni bora liende. Hawana exposure, hawana confidence wala hawawezi kuchakakata data za maendeleo katika maeneo yao. Wanatumika kwenye wizi wa kura na kutetea wala rushwa.
Huyu mtendaji mwenye cheti anaweza kwenda kwa Mkuu wa shule mwenye shahada ama master kumfuatilia uwajibikaji wake? Anaweza kwenda kwa doctor in charge wa kituo cha afya kumsimamia? Anaweza kumsimamia mratibu elimu kata? Afisa afya na afisa kilimo wenye degree?
Serikali vijana wenye elimu nzuri wapo ila mnachukua wenye cheti na diploma ili kuwadhalilisha wenye degree?