Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

Kwa tanzania yetu nisaidieni kutaja vitu ambavyo ni vya ku enjoy ila havina gharama

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kwa mazingira yetu yalivyo ni vitu gani vya kunoga ambavyo havimalizi hela yaani cost yake almost equal to zero.
1.kuogelea bahari ya hindi
2.kufuga bata lengo uwe unakula pilau na bata
3.gongo+mnazi (tembo)
4.x +punyeto
5.download movies kwenye wi-fi
6.audiomack
7.jamiiforum
8.mke mrembo mchangamfu mjanja anayekupenda
9.kulala
nitajie vingine
 
Cha muhimu uwe na bando tu.....
Kingine pitia hapa
1724302493114.jpg
 
Back
Top Bottom