MakinikiA
JF-Expert Member
- Jun 7, 2017
- 5,104
- 6,827
Tatizo la Loliondo linatakiwa kazi Sana kujisafisha maana hata vyombo vya nje vimesharipoti kuhusu vurugu kwa wamasai na dunia inajua Mmsai naye ni sehemu ya adventure, yaani ukimuungalia tu utali tosha sasa unamtoaje Mmsai ni bora kumuhamisha twiga Mmsai abaki, tutegemee hapo watalii watakaokuja ni wawindaji tu.