Mtalii atakuuliza maisha ya mmasai kuliko swala au ufahamu ..Unajivuniaje mmasai kuwa kivutio mkuu mpaka Kenya, Uganda Ethiopia mpaka sudani wapo [emoji847]
Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
Kwa sabb mmasai wa Ngorongoro na kibanda chake pale cha mavi ya ngo'mbe Anajenga picha ya binadam mwenye akili nyingi kuliko wote afrika mashariki na katiMtalii atakuuliza maisha ya mmasai kuliko swala au ufahamu ..
Huyu mama ni kimeo.Chifu Hangaya anadhani watalii huenda arusha kushangaa simba. Hujui kuwa huenda kushangaa namna binadamu na wanyama wanavyoishi pamoja. kama ni simba wako kila mahali ktk parks mbalimbali ulimwenguni wamefugwa
tar 12-15 june atakuwa omanHuyu mama ni kimeo.
Watanzania tumepatikana.
Hakika naona kabisa ile film ilikuwa na lengo la kutangaza biashara ya rasilmali zetu naona sasa wameshapata wanunuzi ndio mana ndugu zetu wamasai wanateswa...bila huruma kwa maslahi yao hawa wahuni.Tatizo la Loliondo linatakiwa kazi Sana kujisafisha maana hata vyombo vya nje vimesharipoti kuhusu vurugu kwa wamasai na dunia inajua Mmsai naye ni sehemu ya adventure, yaani ukimuungalia tu utali tosha sasa unamtoaje Mmsai ni bora kumuhamisha twiga Mmsai abaki, tutegemee hapo watalii watakaokuja ni wawindaji tu.