Kwa timu hii, Simba haitoboi super league

Hizi ni stori za kila siku, mara hawatoboi wanatoboa , hawaendi mara wanaenda?
 
Binafsi lakini nimempenda sana Rafiki yangu Mpwanyungu village.

AMEOMBA kwa Moderators WA Jamii Forum wafute Nyuzi zote kwa sababu ZIFUATAZO..

1. Ameona ZINAJAZA serva za Jamii forum bila sababu yoyote ya Msingi.

2. Amejitafakari post alizokiwa anaziandika kama zinafaida kwenye Jamii ama hazina faida. AMEOMBA ZIFUTWE.

NAKUSHAURI pia kaka.
Hujachelewa
TUILINDE JAMII FORUM YETU WAOVU WASIITINGE .
 
Nahisi Azam HAWAPO MAKINI na Takwimu ZAO.

Baleke alipiga mashuti mawili kwenda Nje.
1. Alipiga chenga Mabeki wote akapiga shuti likapaa dk 79
2. Nalo alipiga chenga likaenda NCHI.

3. Pia Baleke Alikutwa kwenye mtego WA KUOTEA (Offside ) mala Moja.

Hiyo takwimu ni ya HALF TIME
 
Huu ni uchambuzi makin

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Mpira ni matokeo acheni uzwazwa hakihesabiwi kisichokuwepo simba alikukosa gaol 7 siku ile unakufa mbili taifa ngoja tukutane kwa mkapa nikuonyeshe football.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…