Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hata kwenye kombe la mapinduzi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata kwenye kombe la mapinduzi?
Bila matuta Argentina angekuwa sio bingwa wa dunia
Nahisi Azam HAWAPO MAKINI na Takwimu ZAO.
Baleke alipiga mashuti mawili kwenda Nje.
1. Alipiga chenga Mabeki wote akapiga shuti likapaa dk 79
2. Nalo alipiga chenga likaenda NCHI.
3. Pia Baleke Alikutwa kwenye mtego WA KUOTEA (Offside ) mala Moja.
Ubovu wa Simba ni mechi za mikoani tu [emoji23]Si tu super League bali hata ligi kuu simuoni simba kwenye namba moja na mbili, Yaani kwa mpira ule ataitafuta top four kwa nguvu sana. Niko palee.
[emoji23][emoji23] time Will tellHizi ni stori za kila siku, mara hawatoboi wanatoboa , hawaendi mara wanaenda?
Huu ni uchambuzi makinBinafsi lakini nimempenda sana Rafiki yangu Mpwanyungu village.
AMEOMBA kwa Moderators WA Jamii Forum wafute Nyuzi zote kwa sababu ZIFUATAZO..
1. Ameona ZINAJAZA serva za Jamii forum bila sababu yoyote ya Msingi.
2. Amejitafakari post alizokiwa anaziandika kama zinafaida kwenye Jamii ama hazina faida. AMEOMBA ZIFUTWE.
NAKUSHAURI pia kaka.
Hujachelewa
TUILINDE JAMII FORUM YETU WAOVU WASIITINGE .
HAKUNA BAHATI KWENYE KANDANDA.
Mpira ni matokeo acheni uzwazwa hakihesabiwi kisichokuwepo simba alikukosa gaol 7 siku ile unakufa mbili taifa ngoja tukutane kwa mkapa nikuonyeshe football.Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hawakua makini....Mpira ni matokeo acheni uzwazwa hakihesabiwi kisichokuwepo simba alikukosa gaol 7 siku ile unakufa mbili taifa ngoja tukutane kwa mkapa nikuonyeshe football.