Yanga wanatimu.....sema tu safu ya ushambuliaji kidgo inazinguaItatoboa yanga,haya furahi sasa.
Musonda bado sanahyo super ligi kabebe wewe.na striker wako musonda
Kombe kachukia naniKila msimu huwa mnatoa kauli hizi hizi. Mwishowe mnaumbuka, utopolo!
Hii mada unaijua inahusu nini?! Au umekurupuka tu?!
Wewe ukisikia Simba tu m___avi yanagonga kifuniko cha nya. Pole sana[emoji1545] Jaribu kutafuta story zingine ili utoke katika wale wawili wenye Akili Utopolo mzimaKwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kuna penati
na ingekuwa yanga imeshind kwa penti lafu simba wasseme yanga imebahaatisha bado mashabiki wa yanga wasingekubali.
Hata wenyewe wanajua wanaenda kushiriki, hawana mpango na kombe.Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Yaaah Simba hawatoboi Kwa hiki kikosiKuna penati
[emoji23][emoji23]Wewe ukisikia Simba tu m___avi yanagonga kifuniko cha nya. Pole sana[emoji1545] Jaribu kutafuta story zingine ili utoke katika wale wawili wenye Akili Utopolo mzima
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajua sana kuchekesha nyie watu, khaaahSi tu super League bali hata ligi kuu simuoni simba kwenye namba moja na mbili, Yaani kwa mpira ule ataitafuta top four kwa nguvu sana. Niko palee.
Unajua unacho kiandika?Yanga wanatimu.....sema tu safu ya ushambuliaji kidgo inazingua
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ikikaa sawa itakuwa hatariBinadamu tunaubwa kusahau ngao ya jamii msimu uliopita simba ilicheza vizuri kuliko yanga na matokeo yalikuaje na yanga alifika wapi ni muda kidogo tu combination ya simba itakaa sawa time will tell.
Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league
Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..
Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0
NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile apπππ
Njoo nikufundishe uchambuzi......uwe na uwezo wa kuona in deep[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajua sana kuchekesha nyie watu, khaaah