Kwa timu hii, Simba haitoboi super league

Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league

Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..

Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0

NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Wewe ukisikia Simba tu m___avi yanagonga kifuniko cha nya. Pole sana[emoji1545] Jaribu kutafuta story zingine ili utoke katika wale wawili wenye Akili Utopolo mzima
 
Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league

Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..

Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0

NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Hata wenyewe wanajua wanaenda kushiriki, hawana mpango na kombe.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Binadamu tunaubwa kusahau ngao ya jamii msimu uliopita simba ilicheza vizuri kuliko yanga na matokeo yalikuaje na yanga alifika wapi ni muda kidogo tu combination ya simba itakaa sawa time will tell.
 
Si tu super League bali hata ligi kuu simuoni simba kwenye namba moja na mbili, Yaani kwa mpira ule ataitafuta top four kwa nguvu sana. Niko palee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mnajua sana kuchekesha nyie watu, khaaah
 
Binadamu tunaubwa kusahau ngao ya jamii msimu uliopita simba ilicheza vizuri kuliko yanga na matokeo yalikuaje na yanga alifika wapi ni muda kidogo tu combination ya simba itakaa sawa time will tell.
Ikikaa sawa itakuwa hatari

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa mpira huu waliocheza na giant young Africans nipende tu kusema ....Simba asanteni Kwa kushiriki michuano ya super league

Boko + Miquison waliingizwa Kwa shinikizo la nani ???.?..

Kama sio ubutu wa safu ya ushambuliaji wa Yanga ......basi Simba wangekula hata 6_ 0

NB: Yanga bado wanashida na upigaji wa mipira iliyokufa View attachment 2716999

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile ap😀😀😀
 
Back
Top Bottom