Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
×××××××
Imethibitishwa
Tarehe ××\××\××××
Saa 30:95 umetoa kiasi cha shs 5,000 kutoka kwa ×××××× Pepo mchafu toka,
Ada Tshs 950.00 + TOZO ya serekali Tshs 54.00.
Lengo la uzi wangu ni kwanini serekali inachukuwa kiwango kidogo namna hii ya tozo? Aidha kwanini kampuni za simu zinatoza kiasi kikubwa namna hii, kwa mtanzania anayemtumia mama yake kiasi cha mboga kijijini.
Kiuhalisia gharama za kupokea kiasi cha shs 5000/-hakikupaswa kufikia 1000/-,kilistahili kizivuke 10%,ya fedha inayotolewa ili kumsaidia Mtanzania.