Kwa trader anayeanza ni vizuri kuchukua faida au kuziacha ili kukuza mtaji?

Kwa trader anayeanza ni vizuri kuchukua faida au kuziacha ili kukuza mtaji?

Kwa trader unaeanza anza kupata faida ni vizuri zaidi ku withdraw profits zako au kuziacha ili mtaji wako ukue? Nishaulini wapendwa.
Create account mbili moja ya malengo mafupi nyingine malengo marefu ila coz ni newcomer its take time kujifunza kwanza faida zitakujaa
 
Back
Top Bottom