Kwa trader anayeanza ni vizuri kuchukua faida au kuziacha ili kukuza mtaji?

Kwa trader unaeanza anza kupata faida ni vizuri zaidi ku withdraw profits zako au kuziacha ili mtaji wako ukue? Nishaulini wapendwa.
1/ Risk & money management.
Bado huja master.!why ? Kwaswali lako jinsi ulivyo uliza napata shida naman bola kujibu hila lazima uwena plan management.likes
Margin yangu $400,
Lot --- 0.01,
Stop loss $20
Take profit $10
Ok in plan $5 faida ,$5 account hapo nikwa siku hata kama market hipo vibaya lazima upate kitu lakn mambo ubadilika jinsi unavyo ongeza margin pia na lot hinabadilika na Tp&SL hinabasilika.
NOTES: USIWEKE SL above 50% kwa margin yako.pia Never invest money which can't afford to lose.
 
1/ Risk & money management.
Bado huja master.!why ? Kwaswali lako jinsi ulivyo uliza napata shida naman bola kujibu hila lazima uwena plan management.likes
Margin yangu $400,
Lot --- 0.01,
[B][COLOR=rgb(226, 80, 65)][SIZE=5]Stop loss -$20[/SIZE][/COLOR][/B]
[COLOR=rgb(226, 80, 65)]Take profit $10[/COLOR]
Ok in plan $5 faida ,$5 account hapo nikwa siku hata kama market hipo vibaya lazima upate kitu lakn mambo ubadilika jinsi unavyo ongeza margin pia na lot hinabadilika na Tp&SL hinabasilika.
NOTES: USIWEKE SL above 50% kwa margin yako.pia Never invest money which can't afford to lose.
You are a very bad trader
 
Back
Top Bottom