Kwa tsh 1000 upate 490mb kwa 24hrs Vs kwa 1000 upate 1.5GB Kwa 3hrs.. hapo mnaonaje?

mcTobby

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2018
Posts
7,894
Reaction score
22,679
Wazee wenzangu wa online , hilo mnalionaje? Huu mtandao ni kama nime fall in love at first sight nimewapenda tu bure... hakuna wa kuwa compare kwenye internet speed.
Screenshot_20250703_092749_Phone.jpg
 
Kibongo bongo watakupa 1.5GB halafu mtandao hakuna mpaka muda huo unaisha....
 
Nadhani hapa duniani usengesenge upo hapa kwetu tu,sijui kwanini haya mazombie tunayoyaita viongozi hayataki kujifunza kwa majirani
 
Angalia mimi vifurushi vyangu vya mwezi na ni hapahapa Tanzania
Hii ni laini ya HALOTEL ya Intaneti tu nimesajili juzi. Nenda duka la Halotel lililopo karibu yako sajili laini ya Intaneti tu, watahitaji namba yako ya NIDA na TIN Number yako tu basi.
Baada ya hapo unapata vifurushi hivi. Kwa wiki 5000TSh unapata 4GB
Vya mwezi hivi hapa 👇👇
Screenshot_2025-07-02-16-59-24-203_com.android.phone.png
 
Angalia mimi vifurushi vyangu vya mwezi na ni hapahapa Tanzania
Hii ni laini ya HALOTEL ya Intaneti tu nimesajili juzi. Nenda duka la Halotel lililopo karibu yako sajili laini ya Intaneti tu, watahitaji namba yako ya NIDA na TIN Number yako tu basi.
Baada ya hapo unapata vifurushi hivi. Kwa wiki 5000TSh unapata 4GB
Vya mwezi hivi hapa 👇👇View attachment 3392623
If it's vodacom i will do that.. otherwise mm sio muumin wa huu mtandao
 
Sijui kwa nini mmeamua kuwa waumini, ila sisi huku Halotel inashika vizuri sana sawa tu na Vodacom
Na simu yangu inakaa laini mbili, namba 1 nimeweka Voda namba mbili nimeweka hiyo ya HALOTEL
Pia unaweza kubaki na mtandao unaoupenda halafu ukasajili hii laini ya Halotel then ukaiweka kwenye pocket Wi Fi. Unakuwa unatumia Pocket Wifi na kwenye simu unaweka tu laini unazozipenda
Pia mimi sio muumini wa Halotel, sio muumini wa mtandao wowote ule. Natumia tu ninachoona kinafaa
 
Kusajili hiyo line Tsh. Ngapi?
 
Huku kwetu mitandao yenye speed ni Airtel na yas lakn ni wazinguaji kwenye vifurush
 
Back
Top Bottom