Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,850
Pata Router ya 5G kutoka Tigo – Furahia Internet ya Kasi Bila Kikomo!

Kwa Tsh 350,000 tu, unapata router mpya ya 5G kutoka Tigo na mwezi mmoja wa intaneti bila malipo! Hii ni nafasi ya kipekee ya kuunganisha familia na marafiki, kufurahia video za ubora wa juu, na kuvinjari bila kukwama.

✅ Mwezi Mmoja Bure – Pata mwezi wa kwanza bure uki-stream na kuperuzi bila wasiwasi.
✅ Intaneti ya Kasi ya 5G – Uzoefu wa kipekee kwa ajili ya mahitaji yako yote ya intaneti.
✅ Bei Nafuu na Huduma Bora – Furahia mtandao wa uhakika kwa gharama unayoweza kumudu.

Wasiliana nasi kwa maelezo zaidi.
📞0765991551

#Tigo5G #Router #IntanetiUnlimited
#Patayakoleo
IMG-20241113-WA0021(1).jpg
 
Mimi n mkulima huku Ifilandama lakn sijaeleqa tangazo.
Kwanza kuna taarifa zimefichwa hapo kwenye hyo poster ya tigo.
Pili hiyo bei hapo ni kama wame edit maana kuna namba kubwa na ndogo (fonts).
Sio mbaya lakn, kila la heri subiri tukafukuze ndege kwenye mpunga
 
Ambacho ningependa kujua zaidi, minimum kwa mwezi natakiwa niunge bundle ya sh ngp na nitapata speed ipi ya Internet, mengine yanaweza kujisumbukia!!
 
Mimi n mkulima huku Ifilandama lakn sijaeleqa tangazo.
Kwanza kuna taarifa zimefichwa hapo kwenye hyo poster ya tigo.
Pili hiyo bei hapo ni kama wame edit maana kuna namba kubwa na ndogo (fonts).
Sio mbaya lakn, kila la heri subiri tukafukuze ndege kwenye mpunga
Mzee 😂😂 upo FBI Nini
 
Back
Top Bottom