Optimistic_
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 2,347
- 1,850
Ambacho ningependa kujua zaidi, minimum kwa mwezi natakiwa niunge bundle ya sh ngp na nitapata speed ipi ya Internet, mengine yanaweza kujisumbukia!!Mimi n mkulima huku Ifilandama lakn sijaeleqa tangazo.
Kwanza kuna taarifa zimefichwa hapo kwenye hyo poster ya tigo.
Pili hiyo bei hapo ni kama wame edit maana kuna namba kubwa na ndogo (fonts).
Sio mbaya lakn, kila la heri subiri tukafukuze ndege kwenye mpunga
Mzee 😂😂 upo FBI NiniMimi n mkulima huku Ifilandama lakn sijaeleqa tangazo.