Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya kuja kwa hospitali juzi juzi tu hapa.
Cha ajabu nyumbu wanathamini zaidi kilichogunduliwa juzi tu (hospital) na kusemea maneno machafu na kupuuza waganga wa kienyeji!
Kwa hapa Tanzania mpaka leo kuna vijiji vingi hamna hospitali, je afya za hao watu zinaangaliwa na nani? Jibu madaktari wa asili.
Mganga fulani akiwa tapeli haimanishi waganga wote ni matapeli hawana maana