Kwa tuliomsikiliza aliyekuwa Kocha wa Makipa Yanga Mburundi Niyonkuru katika Kipindi cha Kipenga Extra EA Radio leo, Mchawi wa Yanga SC hajajulikana?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
"Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya"

"Na ni Kiongozi huyo huyo pia amekuwa na tabia ya kuja Kwangu Kocha wa Makipa na mpaka kwenda kwa Kocha Mkuu Kaze akitulazimisha tupange Kikosi anachokitaka yeye ila alitukuta Sisi ni Watu wa Misimamo tukamkatalia na baadae akatuomba radhi "

"Watu wa GSM kiukweli wamejitahidi mno Kuiweka timu vizuri japo kwa Uwezo wao hasa kwa Usajili wa Wachezaji na Kambi nzuri, ila kuna Mtu Mmoja narudia tena wana Yanga SC hawajamshtukia ila ndiyo anawaumiza na wasipomshtukia sasa watakuja Kunikumbuka na Kuyakumbuka haya maneno yangu "

Kama kawaida ya All - Rounder huwa hapendi kuishia hapo ambapo alienda mbele zaidi Kiuchunguzi na very Exclusive kabisa Kugundua ya kwamba Yanga SC wengi wanadhani (hadi kuaminishwa ) kuwa Sumu yao Kubwa ni Mwenyekiti wao Dkt. Mshindo Msolla.

Wale Wanayanga wote mnaodhani kuwa Mwenyekiti Msola ndiyo tatizo upesi mno hapo mlipo pigeni Magoti ya Kuomba Toba kwa Mola (Maulana) kwa Dhambi ya Uzushi na Kusingizia.

Sasa All - Rounder nawaambieni Mubashara (Live) kabisa kuwa anayewaumiza ni Kiumbe Kimoja kilianzia TFF kikatolewa akaenda Siasani ambapo alishawahi hadi Kuteuliwa Kipindi cha Rais Mstaafu JK (kama sijakosea ) na baadae akajaribu Ubunge ambako huko pia hakufanikiwa na sasa Kaamua kuja Kukuza SIMTANK lake ndani ya Klabu ya Yanga.

Na ni huyu huyu SIMTANK ndiyo anachochea Majungu dhidi ya Mwenyekiti Msola, Wadhamini GSM na Wanachama kwa Chuki zake Binafsi na Mwenyekiti ili Wanayanga Wamchukie na Shinikizo la Kumng'oa litokee ili Yeye ( SIMTANK ) abakie na anyonye vyema Asali ya Yanga SC huku akiendelea Kudumu na Kujijenga zaidi Kiumaarufu ili mwaka 2025 akagombee tena Kwao DOG CITY ONLY kwa Tiketi ya CCM na aupate (aukwae) huo Ubunge aliousotea (na anaousotea) bila Mafanikio.

Mwisho nikuume tu Sikio Mwenyekiti Msola sikulazimishi bali nakushauri tu achana upesi na Yanga SC waachie Timu yao na endelea na Maisha yako mengine kwani kuna ZENGWE MOJA KUBWA na HATARI mno UNAUNDIWA na lipo Jikoni linaivishwa sasa ili uje Ulile na likumalize Kimoja.

Na waliopo katika Mission hii (hiyo) ni Watu Wawili tu huyo ADUI yako SIMTANK akishirikiana na MNAFIKI Mmoja kutoka kwa Mmoja wa Wafadhili (Wadhamini) wenu Yanga SC ambaye nimeambiwa kuwa Unamuamini mno na Kumkaribisha katika Sebule za Yanga SC ila Yeye ndiyo anakuumiza sana ili utoke hapo kisha wafanye yao hasa Kipindi hiki Timu ( Klabu ) inaelekea katika Mchakato na Muundo wa Mabadiliko ndani ya Yanga SC.

Kazi Kwenu Wanayanga nimeshamaliza.
 
Kwa hyo makamu mwenyekiti anaihujumu timu yetu ...labda lisemwalo lipo

Nje ya mada kulazwa NAIROBI HOSPITAL kwa siku n bei gan mkuu ?
Ukute hata sio Year-lebela tu, Labda hata Daktari nae ni Mwekundu pia so wote wawili wako kikazi zaidi ila hawajuani.

Nje ya mada

Inategemea na Hospital uliyolazwa. Pia inategemea na umelazwa unaumwa nini.
 
Nje ya mada,
Inategemea na Hospital uliyolazwa. Pia inategemea na umelazwa unaumwa Nini.

Nje ya mada(nyongeza)

Pamoja na umaarufu wako pia
 
Kulazwa NAIROBI HOSPITAL kwa Siku Bei yake ni MAITI KURUDISHWA KANDA YA ZIWA Ndugu.
Oooh mkuu kwa hyo nighair kumpeleka ndugu yangu ngoja niwasiliane na kiongiz wangu wa kanisa ndugu juma p naharage lakn simpat toka juz naye alikuwa jijin Nairobi

Nje ya mada

Mods kwann mnaedit nikitaja NENO NAIROBI HOSPITAL Ni kosa mtu kutafuta matibabu au mnataka tufe
 
Ukute hata sio Year-lebela tu, Labda hata Daktari nae ni Mwekundu pia so wote wawili wako kikazi zaidi ila hawajuani.

Nje ya mada

Inategemea na Hospital uliyolazwa. Pia inategemea na umelazwa unaumwa nini.
Wakati mnashinda kila siku hamkuwahi kupiga hizi kelele, nawashangaa mambo yameanza kuwachachia ndio mnaanza story za Msola ana kadi ya Simba, kwani wakati mnashinda hakuwa na hiyo kadi ya Simba?
 
Very logical question from you JF Great Thinker.
 
Oooh mkuu kwa hyo nighair kumpeleka ndugu yangu ngoja niwasiliane na kiongiz wangu wa kanisa ndugu juma p naharage lakn simpat toka juz naye alikuwa jijin Nairobi

Nje ya mada

Mods kwann mnaedit nikitaja NENO NAIROBI HOSPITAL Ni kosa mtu kutafuta matibabu au mnataka tufe
Mheshimiwa, wewe ndiye yule Daktari Bingwa wa magonjwa ya mlipuko ya Kikanda?

Nasikia kuna Daktari Bingwa mwenzako amelazwa huko Nairobi Hospital, na hivyo kuzua kizaa zaa baada ya Wakenya kutukashifu na kutuona hatuna maana! Kisa tu eti kuona Madaktari wetu bingwa wanaenda kutibiwa kwenye hospitali zao!!!
 
"Ndugu Mwandishi kuna Kiongozi Mmoja Yanga SC sitomtaja Jina kwa sasa ndiyo Sumu Kubwa ndani ya Timu na Wanayanga wasipokuwa makini nae atakuja Kuwaumiza zaidi ya hapa na Kujikuta pabaya"

"Na ni Kiongozi huyo huyo pia amekuwa na tabia ya kuja Kwangu Kocha wa Makipa na mpaka kwenda kwa Kocha Mkuu Kaze akitulazimisha tupange Kikosi anachokitaka yeye ila alitukuta Sisi ni Watu wa Misimamo tukamkatalia na baadae akatuomba radhi "

"Watu wa GSM kiukweli wamejitahidi mno Kuiweka timu vizuri japo kwa Uwezo wao hasa kwa Usajili wa Wachezaji na Kambi nzuri, ila kuna Mtu Mmoja narudia tena wana Yanga SC hawajamshtukia ila ndiyo anawaumiza na wasipomshtukia sasa watakuja Kunikumbuka na Kuyakumbuka haya maneno yangu "

Kama kawaida ya All - Rounder huwa hapendi kuishia hapo ambapo alienda mbele zaidi Kiuchunguzi na very Exclusive kabisa Kugundua ya kwamba Yanga SC wengi wanadhani (hadi kuaminishwa ) kuwa Sumu yao Kubwa ni Mwenyekiti wao Dkt. Mshindo Msolla.

Wale Wanayanga wote mnaodhani kuwa Mwenyekiti Msola ndiyo tatizo upesi mno hapo mlipo pigeni Magoti ya Kuomba Toba kwa Mola (Maulana) kwa Dhambi ya Uzushi na Kusingizia.

Sasa All - Rounder nawaambieni Mubashara (Live) kabisa kuwa anayewaumiza ni Kiumbe Kimoja kilianzia TFF kikatolewa akaenda Siasani ambapo alishawahi hadi Kuteuliwa Kipindi cha Rais Mstaafu JK (kama sijakosea ) na baadae akajaribu Ubunge ambako huko pia hakufanikiwa na sasa Kaamua kuja Kukuza SIMTANK lake ndani ya Klabu ya Yanga.

Na ni huyu huyu SIMTANK ndiyo anachochea Majungu dhidi ya Mwenyekiti Msola, Wadhamini GSM na Wanachama kwa Chuki zake Binafsi na Mwenyekiti ili Wanayanga Wamchukie na Shinikizo la Kumng'oa litokee ili Yeye ( SIMTANK ) abakie na anyonye vyema Asali ya Yanga SC huku akiendelea Kudumu na Kujijenga zaidi Kiumaarufu ili mwaka 2025 akagombee tena Kwao DOG CITY ONLY kwa Tiketi ya CCM na aupate (aukwae) huo Ubunge aliousotea (na anaousotea) bila Mafanikio.

Mwisho nikuume tu Sikio Mwenyekiti Msola sikulazimishi bali nakushauri tu achana upesi na Yanga SC waachie Timu yao na endelea na Maisha yako mengine kwani kuna ZENGWE MOJA KUBWA na HATARI mno UNAUNDIWA na lipo Jikoni linaivishwa sasa ili uje Ulile na likumalize Kimoja.

Na waliopo katika Mission hii (hiyo) ni Watu Wawili tu huyo ADUI yako SIMTANK akishirikiana na MNAFIKI Mmoja kutoka kwa Mmoja wa Wafadhili (Wadhamini) wenu Yanga SC ambaye nimeambiwa kuwa Unamuamini mno na Kumkaribisha katika Sebule za Yanga SC ila Yeye ndiyo anakuumiza sana ili utoke hapo kisha wafanye yao hasa Kipindi hiki Timu ( Klabu ) inaelekea katika Mchakato na Muundo wa Mabadiliko ndani ya Yanga SC.

Kazi Kwenu Wanayanga nimeshamaliza.
Inawezekana, lakini yeye ndiye mwenyekiti wa kuwachukulia hatua watu wote chini yake. Atawajibika kwa makosa ya wengine.
 
Wakati mnashinda kila siku hamkuwahi kupiga hizi kelele, nawashangaa mambo yameanza kuwachachia ndio mnaanza story za Msola ana kadi ya Simba, kwani wakati mnashinda hakuwa na hiyo kadi ya Simba?
Bro vipi?
Mie nimekua lini Uto?
 
Huyu all rounder na yeye ana nia baadae awe kama kina carry mastory, jay maudaku nk aanze kupiga mpunga wa insta maana anapost za kimbea kabisa tena ule umbea wa kubinua midomo
 
.
FB_IMG_1614921759508.jpg
 
Back
Top Bottom