Kwa tuliopata ziro(0) form four hebu tukutane hapa

Shule zetu bana . Nimesoma shule o level duuuh hali ilikua mbaya tunaingia pale form one mwalimu wa fizikia na hesabu alikuwa ni mmoja tu form one hadi four daah ndoto za kuwa daktari ndo zikaanza kuyeyuka hapohapo,mwalimu wa kemia alikua mmoja pia daah na shule ina wanafunzi karibu Mia tano na usheee, bullshit! school mates kibao wakaanza kuacha mmojammoja ,Yani hadi kufika advance ulikua muujiza tu hakyanani, nikajua kumbe watu wana ndoto nzuri lakini mazingira yanakwamisha...
 
hatwa mimi nimepaja zero hakika nililia swana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…