Lager
JF-Expert Member
- Mar 4, 2019
- 395
- 1,085
Mapenzi huzuzua akili sana haswa pale yule umpendae kwa dhati anapokwenda kinyume na makubaliano yenu ama kutenda ndivyo sivyo!, karibuni tu share mambo hayo.
Binafsi nilikua na mpenzi wangu wakike ambae tulikuwa jirani,awali alianza yeye kuniapproach nami nikazama penzini tukapeana vyakupeana muungwana nikanasa nakujikuta nikitopea kwenye penzi lake hata kuona nimepata kile kilichobora na nilikipenda haswa!.
Baada ya muda kama miezi fulani Kuna siku mazingira yalijitengeneza, Kuna jirani jamaa tu tulikuwa na ushikaji sio kivile, jamaa alinipatia simu yake nikakaa nayo muda mrefu tu bila hata kuiwasha lakini ilipofika usiku nikaamua niiwashe ili niicheki namna ilivyo nikiipenda basi napanda dau!.
Chaajabu simu yake hakuweka password!,hivyo nikapata Uhuru wa kuizungukia simu yake katika apps mbalimbali ndipo nikaongia uwanja wa sms nakukuta namba ya mpenzi wangu akichati na jamaa!.
Kufupisha ni kuwa chat zao zilionyesha wameshakulana,iliniuma sana tena sana mwili ukawa mzito ghafla hata raha nikakosa usiku huo!.
Nilichoamua sikumwambia haraka mpezi wangu ila nilikuja kumwambia siku kadhaa mbele japo alibisha ila nilimuambia yote niliyoyasoma!.
Mapenzi ni ugonjwa wa akili nduguzanguni na yanauma sana, nashukuru hivi sasa nipo sawa hii stage ukivuka salama shukuru sana.