Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Sijui nifanyaje na ni pisi kali mwaisa acha tu kila nikiliona lile tako nahisi na shetani naye ana nizungukaaPole mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui nifanyaje na ni pisi kali mwaisa acha tu kila nikiliona lile tako nahisi na shetani naye ana nizungukaaPole mkuu
Mtu Kam huyu anakuaje Bora kwangu em karibu kufafanua nione huo ubora wakeTamaa ilimponza fisi. Huyo uliyemuacha kwa kuona hakufai ni mtu bora sana kwako.
Simu ya smartphone na button, kuna wakati simu ya button ni nzuri sana kuliko smartphone. Ukitaka kuona hilo chukua smartphone na button. Nenda kijijini, hiyo smartphone utaweka kwenye droo.