Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

hali hii nipo nayo halafu nahudumia kabisa
Hilo zoezi mimi nashkuru nimeliweza na sas yeye ndio analalamika tu
Principle yangu sai ni kama sifurahishwi na binti simwambii tuachane maana najua haisaidii kisaikolojia
Kikubwa we piga kimya tu hata kama unampenda vipi na akikutafuta usimjibu muda huo huo tusiongozwe na vichwa vya chini

UPATIKANAJI WAKO WA SANA UNAPUNGUZA THAMANI YAKO

TOO AVAILABLE REDUCES YOUR VALUABLE
 
Pole sana aisee. Yanauma lakini hayaui.
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
 
😅😅😅😅😅😅😅
Pole sana chief simu ndio imeenda ila kausha!
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
Mkuu mbna hi imemiuma simu ya bei gani ulimnunulia huyu kabinti
 
Nikionaga haya ndio huruma na Hawa viumbe hunitoka kabisa
 
Mm yangu kali kuliko yako Ndg mtoa mada. Ngoja kwanza SIMBA amvurumishie Moto Yanga afu naileta humu... jiandaeni kufuta Machozi.... ilibaki kidogo tu humu mletewe TQNZIA
 
Mkuu mbna hi imemiuma simu ya bei gani ulimnunulia huyu kabinti
Bei ndogo tu infinix HOT 9 280,000/= uku kwetu. mshahara wangu wote wa mwezi wa 3 nilnunua iyo simu .
 
Masela wapi mnafeli.

Zama hizi acheni kupenda penda,,, hizi ni zama za kuviziana...mademu wanavizia pochi,, na sisi tunavizia ziGo...
 
Tamaa ilimponza fisi. Huyo uliyemuacha kwa kuona hakufai ni mtu bora sana kwako.
Simu ya smartphone na button, kuna wakati simu ya button ni nzuri sana kuliko smartphone. Ukitaka kuona hilo chukua smartphone na button. Nenda kijijini, hiyo smartphone utaweka kwenye droo.
Nilimuacha mtu ambae nna malengo kwa ajil yke nmempambania Sana lakin mwsho wa cku ndio ivo tena Kuna mda nataman nmpgie lakn najikaza maana narud nyuma naon Kam nalazimisha mapenz
 
Kwa ninayopitia Mungu pekee ndie anajua mapenzi aiseeh [emoji174]
 
Utazoea tu ni swala la mda sio riziki yako usimtafute mi waduanzi kama hao nafuta kote na nablock kila kona
 
Daah.Mimi kuna kademu tangu kapate ajira hakajawai tena kujibu text zangu tangu mwezi w nne mbaya zaidi simu nilimnunulia mwenyewe.Nimeamua kuachana nae kabisa najua alikuwa anitaki bali tu shida tu zilimfanya awe na mimi.
Pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…