Kwa tuliopigwa na vitu vizito kichwani kisa mapenzi tukutane hapa

Mtu Kam huyu anakuaje Bora kwangu em karibu kufafanua nione huo ubora wake
 
Wanaume wa siku hizi wanalalamika sana. Kila kona ya mitandao ya jamiii unakuta mwanaume analalamika kuachwa na mwanamke..

Yani baadhi ya wanaume ni kama vikinda kila mara ng'aaa ng'aaa... Mademu wengi, ukiona haeleweki unapiga chini unarukia mwingine, ndio maana wapo wengi kutuzidi sisi.

Wanawake ndio wamekuwa wagumu siku hizi, hawalii kabisa. Pumbavuuu na nyie mkifika kwenye ndoa ndio mnakimbizwa na wake zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…