Kwa tuliosoma Kantalamba secondary school

Status
Not open for further replies.
Nilikuwa jirani yenu kizwite 2003, kuna kiboko yenu Mwl njaga mnamkumbuka??


Kizwite nakukumbuka jamaa mmoja aliyekuwa mwenyekiti wa Ukwata miaka ya 1998 mpaka 1999 anaitwa Lwitiko mzee wa kuvaa mlegezo yaani ni kiongozi wa dini ila mvaa mlegezo mbaya
 
Mwaka 2002 nimehitimisha pale,
nnlimkuta Milinga akaniacha na yamisebo,wapi
mwl njanga,luoga,
mashine kanyengele,
mzee pocho,
.....siku nyingi sana!
 

RIP Mr Katiya
 
Wapi mwl Dule, Silinu, Simkanga, dada Ngwala, Mwimanzi. Nilimaliza A level 1993 na huyo Joseph Madebe. HM alikuwa milinga, SM Silinu
 
HEY pipooooooooooooooooo

hope mpo poa sana!!!!!! hii ni kukumbushana maisha tuliyoyapitia tulipokuwa Kanta!!! unakumbuka nini!!!mambo ya chanjii, O.G, Kidedi, mandevuniiiii , Mwal Chijua etc to mention bt few!!!

Sijitaji jina dogo..ila choo kile kule chini mimi ndo nilikipa jina la choo cha OG. Namkumbuka Njanga alitamani kulia baada ya kuambiwa tulikuwa disco Upendo view akaenda kupitisha roll call akatukuta bwenini alivyoondoka tukarudi tena town kuruka debe coz nilimuacha shemeji yenu kule.
 
ohhhhhhhhhhh big up sana Baba V hilo jina(O.G) halitakufaaa!!!!1
 
ohhhhhhhhhhh big up sana Baba V hilo jina(O.G) halitakufaaa!!!!1

Kuna mtu alikuwa anaitwa Ziro sijui yuko wapi miaka hii.... Hivi dogo promota pande za wapi nae.
 

duuuuu kweli ninyi ndio mnaijua Kanta kwa kweli no ubishii!coz 1999 mm nipo darasa la sita!!!
 
ohhhhhhhhhhh big up sana Baba V hilo jina(O.G) halitakufaaa!!!!1

Kile choo tulikuta hakitumiki na kimeota manyasi ndani, OG akakipenda akawa anaenda kuvutie fegi kubwa kule ndo tukakipa jina hilo..!
 
Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa mwanzo mwanzo pale (1969 - 1973). Enzi hizo hapakuwa na A level pale, Father Matipa akiwa Headmaster.
 
Kumbe tupo! Mi nilipita 1998-2001 O level. Kantokola, chijua, soap soap daniel, mr milinga, mnaikumbuka ile chata ya swasamas, dagaz 2 aaah long time wandugu
 
Ule msala wa kanta na maswi siji ku husahau nilikaa lupango masaa ya ya kama mnne hivi duu
 
Mimi nilikuwa uraiani, sisomi Kanta wala Mazwi. Lakini varangati lililokuwa likitokea lilinifanya niwajue wababe wa huko, kama Basita pamoja na ulemavu wake, alikuwa anatembeza mkono ni hakuna mfano.
 
Kiboko yao alikua Kanyengele watu walikua wanafukuzwa lwiche kama wezi.Ila walikuwepo walimu wababe kama Pocho, Marehemu Zalamte ,Njanga.Njoo upande wa wanafunzi kwanza miss kantalamba Wasipemba,BenjaDaggaz 2.
 
Nakumbuka ugomvi wetu na Mazwi wakati wa Umisseta.Jamaa walikuja na mapanga na nondo kwenye basi la Sumry.Mpaka leo nina kovu mguuni niliruka toka jukwaani mpaka chini nje.Kesho yake tukaenda kulivizia basi asubuhi abiria walinyeshewa mvua ya mawe mpaka wakapelekwa hospitali.
 
Yeah, UMISSETA Sumbawanga mjini haiwezi kutajwa bila majina kama Sombe na Dickson Msalila upande wa Kanta, na Kisusi na Mathias Mulumba upande wa Mazwi. Pia alikuwepo Simbakavu. Mnamkumbuka Watelepa?
 
sijasoma huko ila nimekaa chanjiiii na kizuitu ..napenda samaki wa sumba
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…