Mkuu nipo swanga nipm nawezakukusaidiaWakuu naomba msaada nna mdogo angu amechaguliwa kwenda f5 Kantalamba, hatujapata joining instruction kama kuna yeyote mwenye contact za shule naomba mnipatie
Nipm nipo swax nikusaidie ukifika ubungo bus terminal panda gari za ndenjela unalala mbeya then kesho yake unapanda gari liitwalo networking frm mbeya to swanga.karibu sana swangaWakuu Mimi Nimechaguliwa Kantalamba Nipen Info Zake Pia Sijajua Nafika Vp Maana Nipo MTWARA Pia Joining Instructions Nahitaji Msaada Saaana
Nicheki:0689094745
0672977739
Mkuu nipo swanga nipm nawezakukusaidia
Nipm nipo swax nikusaidie ukifika ubungo bus terminal panda gari za ndenjela unalala mbeya then kesho yake unapanda gari liitwalo networking frm mbeya to swanga.karibu sana swanga
mkuu ungempa option za mabasi mbalimbali,maana kusema tu apande ndenjela,ikitokea amekosa tiketi anaweza asisafiri kumbe mabasi ni mengi tu.
Ndenjela ni basi lenye mwendo mzuri ila akikosa hilo kuna lingine linaitwa JM nalo linamwendo mzuri au newforceyoutong
sawa mkuu... nami mwaka huu mwishoni nadhani nitakuwa huko, kitambo sana nimepamiss japo nasikia ile barabara ya tunduma - sumbawanga haijakamilika bado.
Nipm nipo swax nikusaidie ukifika ubungo bus terminal panda gari za ndenjela unalala mbeya then kesho yake unapanda gari liitwalo networking frm mbeya to swanga.karibu sana swanga
Wakuu Mimi Nimechaguliwa Kantalamba Nipen Info Zake Pia Sijajua Nafika Vp Maana Nipo MTWARA Pia Joining Instructions Nahitaji Msaada Saaana
Nicheki:0689094745
0672977739
sawa mkuu... nami mwaka huu mwishoni nadhani nitakuwa huko, kitambo sana nimepamiss japo nasikia ile barabara ya tunduma - sumbawanga haijakamilika bado.
Nashukuru Saaana Ila Pia Ningependa Kufaham Kantalamba Ni Boyz Au Boyz And Girl Pamoja Na Detai Zingne Kuihusu Shule
Kwa sasa kamanda ni full rami from tunduma to swanga ni almost 6to 7hrs from mby to swanga,uje na blanketi pamoja na masweta mazito ni full baridisawa mkuu... nami mwaka huu mwishoni nadhani nitakuwa huko, kitambo sana nimepamiss japo nasikia ile barabara ya tunduma - sumbawanga haijakamilika bado.
swanga ni sehemu yenye baridi hivyo uje na blanketi na masweta si jacketShule ni Boyz ipo mjini na mazingira mazuri ya kujisomea japo kwa siku izi walimu wa government schools hawana moral ya kazi so njoo na vitabu vyako vya kutosha na ujitume na masomo
Kama hutojali tuma your full names nikakuchukulie admission then utume na your email ili nikutumieShule ni Boyz ipo mjini na mazingira mazuri ya kujisomea japo kwa siku izi walimu wa government schools hawana moral ya kazi so njoo na vitabu vyako vya kutosha na ujitume na masomo