enock yusto
JF-Expert Member
- May 28, 2014
- 377
- 341
Kuna ticha mmoja mmaza (Mwl Nyota) alikua kauzu sana.
Sasa bwana kuna siku alituagiza, nyumbani kwake. Katupatia kimeseji (kikaratasi) tukampe mtoto wake wa kike yupo home.
Kufika tunakuta jirani yake kuna msiba. Yaani wao wanakaa kota za iyo shule (ni shule ipo chini ya masista so dayosisi waliwapa nyumba hao watumishi). Alitupa iko kimeseji kumbe amesema mtoto wake atupatie wali kwenye hotpot tumpepekee kazini. Dah yeye msibani huwezi amini hakwenda week nzima wakati ni nyumba ya pili.
Kuna siku mwalimu mwingine alikua bonge sana alituagiza nyumbani kwake. Kuna vitu tukavichukue somewhere hafu tupeleke kwake. Sasa kuna kitu pia alitaka atuagize turudi nacho ila akasahau so ikabidi aje mwenyewe. Sisi tulipotoka iyo sehemu tukaenda kwake. Hakuna mtu. Haoo tukaingia bafuni, la nje, tulikuta ameanika bonge la chupi. Wale jamaa zangu wawili wakavaa wakaingia wote kwenye chuoi moja. Kumbe yule ticha ndio kafika anasikia vicheko bafuni. Anaingia anakuta watu wapo ndani ya chupi. Aisee zile fimbo zilipigwa sijawahi ona. Tunafika shule akatukabidhi kwa mwalimu wa nidhamu tukala fimbo ila dababu haitajwi. Ni fimbo tu.
Hii Kayumba ya Kijijini nadhani kwasababu tuliosoma Mjini sanasana unaagizwa Ufagio na Maji kama shule wamekatiwa maji.....Mi nakumbuka shuleni kwetu kubeba jembe, kotama, mbolea, maua, chupa, mayai, mifagio, fito, mifutio, maji ilikuwa kawaida.
Kupewa adhabu za kung'oa visiki ilikuwa kawaida au kushinda umeshika maskio au kupigwa konzi au kufinywa darasa zima. Adhabu kama kulima ilikuwa kawaida.
Kitu kingine, mwalimu kumchukua mwanafunzi akalime shamba lake au kumtafutia kuni au kudeki ilikuwa kawaida.
Mliosoma English medium haya mambo hamuwezi kuyajua.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alivyowachapa hakuwaua?Kuna ticha mmoja mmaza (Mwl Nyota) alikua kauzu sana.
Sasa bwana kuna siku alituagiza, nyumbani kwake. Katupatia kimeseji (kikaratasi) tukampe mtoto wake wa kike yupo home.
Kufika tunakuta jirani yake kuna msiba. Yaani wao wanakaa kota za iyo shule (ni shule ipo chini ya masista so dayosisi waliwapa nyumba hao watumishi). Alitupa iko kimeseji kumbe amesema mtoto wake atupatie wali kwenye hotpot tumpepekee kazini. Dah yeye msibani huwezi amini hakwenda week nzima wakati ni nyumba ya pili.
Kuna siku mwalimu mwingine alikua bonge sana alituagiza nyumbani kwake. Kuna vitu tukavichukue somewhere hafu tupeleke kwake. Sasa kuna kitu pia alitaka atuagize turudi nacho ila akasahau so ikabidi aje mwenyewe. Sisi tulipotoka iyo sehemu tukaenda kwake. Hakuna mtu. Haoo tukaingia bafuni, la nje, tulikuta ameanika bonge la chupi. Wale jamaa zangu wawili wakavaa wakaingia wote kwenye chupi moja. Kumbe yule ticha ndio kafika anasikia vicheko bafuni. Anaingia anakuta watu wapo ndani ya chupi. Aisee zile fimbo zilipigwa sijawahi ona. Tunafika shule akatukabidhi kwa mwalimu wa nidhamu tukala fimbo ila sababu haitajwi. Ni fimbo tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] alivyowachapa hakuwaua?
Sent using Jamii Forums mobile app
Darasa la 3 tukikua tunaingia darasani saa 4 tunatoka saa 10 jioni. Sasa ulikua ukipiga fujo unapewa adhabu ya kwenda kuteka maji umbali wa km 3. Labda mpo watu 10 mnaenda..Asee tumefanya matendo ya ajabu hadi nashangaa ile akili tuliitoa watu.
Wale watukutu wa darasa tukiwa nao kuteka maji walikua wanatushawishi tunakojolea maji ndoo zote. Walimu wamekunywa mikojo sana.
Wake wa walimu walikua wachoyo kweli ulikua ukienda kuomba maji ya kunywa unapewa kikombe cha maji na ndoo kabisa ukateke maji
Fito na nyasi za kujengea choo
ππ π π[emoji23][emoji23][emoji23]daah
ππ π π
Miambili za muhuri wamekula sana walimu..
Fimbo za mswaki
Mbolea
Maji
Fagio (sijawahi kaa na fagio wiki lazima waibe)
Maua
Kuuza maandz ya waalimu, ice cream ( barafu), nkMi nakumbuka shuleni kwetu kubeba jembe, kotama, mbolea, maua, chupa, mayai, mifagio, fito, mifutio, maji ilikuwa kawaida.