Don chul Lingula
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 363
- 276
Kwa wale wadau wenzangu tuliowahi kubanwa na zipu za suruali baada ya kukojoa tuambiane maumivu yake uliyapataje mm nilitamani kutembea bila kufunga zipu maana c kwa maumivu yale ya Kibamia kubanwa nilitaka kulia