Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Kwa tunaojua mpango wa wakala Kwa Mchezaji wake halitutishtui hili.

Wakala yupo tayari kufanya chochote Mchezaji wake apate "mileage" Wakala alimleta Mchezaji Tanzania kama njia panda.

Wakala alishanunua sana "Airtime" ya Mchezaji wake katika Page Kubwa, Wakala hashindwi Kununua Tuzo.

Wakala yuko tayari kugharamia anything akijua wazi kuwa siku moja atakuja kunufaika na mauzo maradufu.

Mawakala wa Afrika Magharibi wanajua sana kuwapush wachezaji wao.
 
Punguza wendawazimu na chuki dhidi ya simba.
Daily unapuyanga utopolo wako juu ya simba na kutanabaisha mbele ya mabwana zako kuwa simba haina jema hata moja.

Huu ni upumbavu wa kiwango cha SGR.
Ifike hatua uamini na ukubali kuna gap kubwa kwa sasa kati ya utopolo na simba linapokuja suala la kimataifa.
 
Tulikuwa tu lazima huko uliko umechanganyikiwa baada ya ulichotaka hakikutokea badala yake unatafuta kauli za kujifarijinafikiri ulidhania hizi ni tuzo za kimichongo kama za TFF ambazo wakala wa bangala alicheza michezo unayotaja
Et tuzo za TFF🤣🤣🤣
 
Pongezi kwa mshabiki wa Simba kwa kumpigia kura za kutosha kijana na akashida japo goli la Gabadhino lilikuwa ni goli zuri zaidi kwa upande wangu ila nadhani kura hazikutosha
Mkuu ebu tuwe tu wakweli goli la acrobatic huwezi kulinganisha Na goli lingne mfano goli alilofunga Cristiano Ronaldo 2017 UEFA dhidi ya Juventus lilikuwa goli Bora la mwaka hata hili la mayele pia ningeshangaa asipewe goli Bora la mwaka hata huyo POS anadeserve mkuu
 
Haya huyu hapa aliyestahili, kashapewa tuzo yake. Furahi sasa.
Shougaaaaah angu, kwan uteseke? Kwann uumie??
Kunywa maji ya uvugu vugu, afu pumzikaaa.

Byuti byutii.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…