Msolo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2008
- 2,713
- 3,559
Sidhani kama tuzo za CAF zinapigiwa kura na mashabiki.Pongezi kwa mshabiki wa Simba kwa kumpigia kura za kutosha kijana na akashida japo goli la Gabadhino lilikuwa ni goli zuri zaidi kwa upande wangu ila nadhani kura hazikutosha