Kwa tunaofahamu, tuzo ya Sakho ni ya kimkakati

Pongezi kwa mshabiki wa Simba kwa kumpigia kura za kutosha kijana na akashida japo goli la Gabadhino lilikuwa ni goli zuri zaidi kwa upande wangu ila nadhani kura hazikutosha
Sidhani kama tuzo za CAF zinapigiwa kura na mashabiki.
 
Kumbe wakala nae anahusika kucheza uwanjani ? Utopolo ni wengi nchi hiii
 
Mchezaji wa mkopo kama chiko ushindi hawezi kufunga goal kama lile endeleeni kuchukua wazee kama kina bigirimana akipiga bicycle kick kama ile anavunjika kiuno.
 
Wewe huna tofauti na bwege kabisa! Huyo wakala anayo hela ya kuwanunua CAF? Kweli akili za wengine humu duniani ni vioja kabisa!

Mdogo wangu bado hujakomaa kifikra kung’amua masuala yanayo hitaji akili ya ziada.

Rudi MMU.
 
tunajua tuzo ya pape ousmane sakho imekupiga na kitu kizito cha uppercut. bado unaugulia maumivu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Unazungumzia Tuzo ya Kimkakati ya Sakho au Kombe la LigiKUU Tanzania Bara?
 
Kumbe wakala nae anahusika kucheza uwanjani ? Utopolo ni wengi nchi hiii

Usitumie uloto wa kwenye magoti kufikiri mtani wangu.

Kwanini unaupumzisha Ubongo?
 
Mchezaji wa mkopo kama chiko ushindi hawezi kufunga goal kama lile endeleeni kuchukua wazee kama kina bigirimana akipiga bicycle kick kama ile anavunjika kiuno.

Mbona ujamtaja Mayele? [emoji23][emoji23]
 
Mchezaji wa mkopo kama chiko ushindi hawezi kufunga goal kama lile endeleeni kuchukua wazee kama kina bigirimana akipiga bicycle kick kama ile anavunjika kiuno.
Kwanza ni mgonjwa wa Ini hawezi kufanya hivyo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nadhani hata goli bora la nbc lilikuwa la kimkakati..ila wakala alikosea kumnunulia mfugo mchezaji badala ya tuzo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…