NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
- Thread starter
-
- #21
Ignore meUsimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.
Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.
Mithali 26:4
Hawaaamini wanachokionaWalikua wanavizia kitonga kwa Jwaneng saivi macho yamewatoka.
Leo kampasua Wydad tena kwake, yawezekana naye kashuka kiwango?Jwaneng ametoa sare na Orando wakaenda matuta so sio kitu cha ajabu,Orando ameshuka kiwango hata kwao ana hali mbaya japo ana vipolo
Angalia statistics zao, saves 16 kwa jwaneng, Ball position 80 kwa 20.Leo kampasua Wydad tena kwake,yawezekana naye kashuka kiwango?
Mi mwenyewe nimefurahi, Jwanang wamemshangaza Wydad.... hajaamini.Angalia statistics zao .saves 16 kwa jwaneng,
Ball position 80 kwa 20.
Binafsi nimefurahi wydad kufungwa.maana angeongoza ligi angetusumbua.bora ashike mkia
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
Jwaneng amelifanya kundi lisiwe na mwenyewe..Mi mwenyewe nimefurahi,Jwanang wamemshangaza Wydad.... hajaamini.
Hakika, kaneutralize hali ya mambo kwenye kundi lao, leo hii eti Wydad ni wa mwisho.... hahahaaaa! Ila ni mwanzo.. wenyewe wataonekana vema, kadri michezo inavyozidi kuendelea.Jwaneng amelifanya kundi lisiwe na mwenyewe..
Angalia kundi la wenzetu,al ahly kashinda 3-0,belozuidad kashinda 3-0 hii inafanya kundi Lao liwe na wababe
Kabisa aiseeBora umewapa taarifa mapema
Tarehe 2 ni dhidi ya Simba, wakizihitaji tatu zingine za nyumbani.Hakika,kaneutralize hali ya mambo kwenye kundi lao,leo hii eti Wydad ni wa mwisho.... hahahaaaa! ila ni mwanzo.. wenyewe wataonekana vema,kadri michezo insvyozidi kuendelea.
Simba itatinga robo fainali ya Cacl, subiri utaona.Nimeona Ayub Fc wakikenua meno baada ya droo ya mashindano ya Caf kuchezeshwa na kuanza kujipa moyo kuwa watatinga robo kwa kishindo.
Wydad, asec na Jwaneng Galaxy.
"Eti tunapiga Jwaneng Galaxy nje ndani tunachukua point za kutosha"
labda niwape taaarifa tu huyu Jwaneng Galaxy ndiyo kamtoa Orlando pirates ileee ya south Africa ambako Ayub Fc walikwenda kuchoma uwanja Lakini wakatoka kapa.
Mbumbumbu Kama Rage alivyowaita wasiojua mpira wanadhani Hili kundi Lina Vibonde vipers na Horoya.
Safari hii hakuna ndondokela weka mpira uwanjani uoneshe ukubwa wako.
Kama kumfunga power dynamo haeleweki ulimfunga vipi leo uje kufua dafu kwenye timu zinazojielewa??
Kila la heri Ayub Fc.
Dah!HIVI UNAAKILI TIMAMU KWELI.?????
UNAJIDHALILISHA SANA KAKA.
Unaushabiki WA Kijinga na WA KITOTO sana.
Ningekushauri ukazanie sana Kusoma kwa LENGO la kupunguza UJINGA.
HAWA NI WATU WAPUMBAVU ZAIDI JAMII FORUM
GENARA.
GE.......
NA........
LA.............
NdondokelaaaaaSimba itatinga robo fainali ya Cacl, subiri utaona.
NGOJA MUENDE HUKO MKACHEZEE KICHAPOSawa mama. Mke halali wa IHEFU
SAWA JUMAMOSI SIYO MBALI.Simba huwa wanamtindo wa kwenda kumubomoa mpinzani mmojawapo kwa kumtwaa kocha. Hiyo huyo kocha wa Galaxy ajiandae kutua msimbazi. Robertinho anaondoka baada ya mechi na Al Ahly
HAKUNA SHIDA.Pambaneni na hali yenu
ASANTE SANA KWA USHAURI WAKO ILA JUMAMOSI SIYO MBALI.Uwe unaibua nyuzi za kuijadili utopolo.Kila mida kutega pua ili unuse kwa jirani si afya kwako.Mwiko utachomolewa upigwe nao puani.
JUMAMOSI SIYO MBALI.We zungumzia kundi lako vp unatoboa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hao waswana sisi tunawalala tu
HAKUNA SHIDA SUBIRI JUMAMOSI UONE KITAKACHO WAKUTA.HIVI UNAAKILI TIMAMU KWELI.?????
UNAJIDHALILISHA SANA KAKA.
Unaushabiki WA Kijinga na WA KITOTO sana.
Ningekushauri ukazanie sana Kusoma kwa LENGO la kupunguza UJINGA.
HAWA NI WATU WAPUMBAVU ZAIDI JAMII FORUM
GENARA.
GE.......
NA........
LA.............